Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
- Thread starter
- #4,281
Carlo Ancelotti: "Isco is my Clarence Seedorf"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
msimu ukiisha bila chochote ataondoka yule..kuna mazur yake lakin kuna vitu vingi kafanya vimedistabilize team na havikuwa vya lazma..mfano kulikuwa kuna haja gani ya kumuuza Xabi..
hata ziclick vipi...msimu huu bila kombe jamaa atatimuliwa..uwezo wake ndio umeishia pale..timu imekuwa weak anauza majembe analeta vijana walaini mwisho wake tunakula dozi kizembeHata tukichukua UCL, I wish Ancelotti angeenda zake tu ikifika hii summer. We had a nice moment together, we thank him very much, sasa wakati umefika wa kuwaachia club watu wengine, na tunamtakia mafanikio huko aendako. Lakini pale the boss Flo Peréz, na mi nawaona wawili wale zina-click vema, sasa swala kumvunjia mkataba, sijui itakuaje hapo!
Haina haja ya kuvunja mkataba, haongezewi mpya mwisho wa msimu.Hata tukichukua UCL, I wish Ancelotti angeenda zake tu ikifika hii summer. We had a nice moment together, we thank him very much, sasa wakati umefika wa kuwaachia club watu wengine, na tunamtakia mafanikio huko aendako. Lakini pale the boss Flo Peréz, na mi nawaona wawili wale zina-click vema, sasa swala kumvunjia mkataba, sijui itakuaje hapo!
Kwanza amekariri mpira, na hajifunzi kamwe kupitia makosa yake anayorudia kila siku, ndio maana timu kama Atleti wanahesabika washindi tayari kabla hata hatujacheza nao. Madrid unaiweza hata i-set kwenye auto-pilot ikabeba kila kikombe, Carlo anazingua.Mabaya ya anceloti ni yapi jamani.
Hahaha add arbeloa on that list, and it'll be the biggest troll ever.Khedira has been offered to Barcelona, according to the almighty Sport (Barcelona Based newspaper).
Hahaha add arbeloa on that list, and it'll be the biggest troll ever.
Haha jamaa yuko flat sana, kitu pekee cha ukweli alichonacho ni huyo manzi, Lena. Nina mchizi wangu anamuita Borat, amemchoka haina mfano.Khedira mpira basi yule, siku moja nilimuona mitaa ya Cibeles, yuko na Germany next top model mapaparazi wanamfukuzia kama yuko Holliwood, nikaona ahaa, ndio maana wanjani pasi zote butu. Lakini anaweza kwenda Italy au Uturuki.
Haha jamaa yuko flat sana, kitu pekee cha ukweli alichonacho ni huyo manzi, Lena. Nina mchizi wangu anamuita Borat, amemchoka haina mfano.