Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Carlo Ancelotti: "Isco is my Clarence Seedorf"

10407498_983065575051536_1024655229542004693_n.jpg
 
Official: Rea Madrid will appeal the yellow card that Cristiano received in the game against Rayo.
 
NEXT FIXTURE

LIGA BBVA - MATCHDAY 31 - 11/04/2014 16H (CET)

ÉSTADIO SANTIAGO BERBABÉU

REAL MADRID....................VS.......................ÉIBAR

10568889_777515488968004_5634012181214324908_n.jpg
 
FIFA Agent Biasi Giulio:
"I've been informed by the Italian media outlets that Pogba has already been sold to Real Madrid and will definitely join them next season."

11098215_983078411716919_1900083909586787516_n.jpg

msimu ukiisha bila chochote ataondoka yule..kuna mazur yake lakin kuna vitu vingi kafanya vimedistabilize team na havikuwa vya lazma..mfano kulikuwa kuna haja gani ya kumuuza Xabi..

Hata tukichukua UCL, I wish Ancelotti angeenda zake tu ikifika hii summer. We had a nice moment together, we thank him very much, sasa wakati umefika wa kuwaachia club watu wengine, na tunamtakia mafanikio huko aendako. Lakini pale the boss Flo Peréz, na mi nawaona wawili wale zina-click vema, sasa swala kumvunjia mkataba, sijui itakuaje hapo!
 
hata ziclick vipi...msimu huu bila kombe jamaa atatimuliwa..uwezo wake ndio umeishia pale..timu imekuwa weak anauza majembe analeta vijana walaini mwisho wake tunakula dozi kizembe
 
Hata tukichukua UCL, I wish Ancelotti angeenda zake tu ikifika hii summer. We had a nice moment together, we thank him very much, sasa wakati umefika wa kuwaachia club watu wengine, na tunamtakia mafanikio huko aendako. Lakini pale the boss Flo Peréz, na mi nawaona wawili wale zina-click vema, sasa swala kumvunjia mkataba, sijui itakuaje hapo!
Haina haja ya kuvunja mkataba, haongezewi mpya mwisho wa msimu.
 
Legendary left-back Roberto Carlos has picked a star-studded Champions League dream team featuring players he played alongside during his glittering career. [The Daily Mail]

11081189_983104365047657_1221083591376665426_n.jpg
 
Mabaya ya anceloti ni yapi jamani.
Kwanza amekariri mpira, na hajifunzi kamwe kupitia makosa yake anayorudia kila siku, ndio maana timu kama Atleti wanahesabika washindi tayari kabla hata hatujacheza nao. Madrid unaiweza hata i-set kwenye auto-pilot ikabeba kila kikombe, Carlo anazingua.
 
Khedira has been offered to Barcelona, according to the almighty Sport (Barcelona Based newspaper).
 
Hahaha add arbeloa on that list, and it'll be the biggest troll ever.

Khedira mpira basi yule, siku moja nilimuona mitaa ya Cibeles, yuko na Germany next top model mapaparazi wanamfukuzia kama yuko Holliwood, nikaona ahaa, ndio maana wanjani pasi zote butu. Lakini anaweza kwenda Italy au Uturuki.
 
Haha jamaa yuko flat sana, kitu pekee cha ukweli alichonacho ni huyo manzi, Lena. Nina mchizi wangu anamuita Borat, amemchoka haina mfano.
 
Haha jamaa yuko flat sana, kitu pekee cha ukweli alichonacho ni huyo manzi, Lena. Nina mchizi wangu anamuita Borat, amemchoka haina mfano.

Sometimes najiuliza kwanini walimuuza Alonso wakamuacha yule. Mistake kama hiyo ingefanyika kwa Benzema pia. Kulikuwa na kipindi ilikuwa inapigwa ramli, auzwe Benzema au Higuain. Benzema alikuwa katika kipindi kigumu, na mi nilikuwa naona mtu wa kuondoka pale ni Higuain.
 
EL PAÍS:

- Bale had passed tests on his injury & played the entire 90mins vs Rayo but suffered from pain this morning.

- Throughout today, Bale is expected to undergo further tests to assess the severity of his pain/injury.

11118499_983133435044750_2917688965467874192_n.jpg
 
Feeling confident, Ronny decided it was time to humiliate a couple of Rayo players with some outrageous skills, notably this filthy nonchalant nutmeg on Roberto Trashorras.

Last edited by a moderator:

Jugones | Hierro and the players chat in the tunnel before Real Madrid came out to play the 2nd half, was vital vs Rayo.

11149512_983160315042062_7854162783072002727_n.jpg
 
Back
Top Bottom