Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
- Thread starter
-
- #4,441
Mauro Icardi, (Forward - 22 years - Inter Milan) was recently offered to Real Madrid, his price is around 30 million euros. [Marca]
-Kesho ndo msema kweli, niliota R.Madrid kagiwa goli 3 huku mpira ukiendelea.
-Kesho ndo msema kweli, niliota R.Madrid kagiwa goli 3 huku mpira ukiendelea.
Hahahah.. AleynUsingizi wa kulala na njaa lazima utaota maruweruwe, kwani umeamka saa ngapi? Kesho Real Madrid haina mechi. Au Sevilla wamekutia msongo wa mawazo.
Hahaha, kijana kachanganyikiwa na kupoteza points jana.Usingizi wa kulala na njaa lazima utaota maruweruwe, kwani umeamka saa ngapi? Kesho Real Madrid haina mechi. Au Sevilla wamekutia msongo wa mawazo.