[07:19, 15/04/2015] Cassim: CR7 na Bale aren't better suited for those kinda games. They're runners better than they're dribblers. Carlolina mofo ameshindwa kabisa kuwapatia dawa wale. Sioni jinsi ya kuwafunga sasa zaidi ya shots zimepigwa mbali kitu kimetinga ama penalties.
[07:19, 15/04/2015] Cassim: Watu wanatengeneza nafasi, watu wanakosa. Tengeneza zingine.
[07:22, 15/04/2015] Cassim: Hata mimi juzi nilikua nakomaa na jamaa kwamba haya ni mashindano mengine lakini sasa sina la kusema. I'm disappointed. Bale kulia ndo hadi mwisho, CR7 kushoto ndo hadi mwisho. Hatuko dynamic kabisa kule mbele. Way too predictable.
[07:26, 15/04/2015] Cassim: Na subs ndo zile zile. Benzema nje..... Bale should have been substituted for Isco jana.
[07:27, 15/04/2015] Cassim: Isco ameingia akampeleka James right wing.
[07:27, 15/04/2015] Cassim: 😳😳😳😳😳
[07:41, 15/04/2015] Cassim: Shots naona 8-16, BP 42-58. Shots on target ndo 2-8. So we fired 8 shots of those 16 off target. Tukija kwenye ratio maana yake wako juu yetu. Kwa kila shots zao 8, 2 zinaenda off target wakati sisi 8 hizo zote off target.
[07:41, 15/04/2015] Cassim: Corners 7-5.
[07:44, 15/04/2015] Cassim: Carlo Carlolina: ''Atletico are one of the best teams in the world at defending and it's difficult for us to find solutions''. Huwezipata solution wakati strategy yako kila siku ni hiyo hiyo, MOFO!!!!!!