Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
- Thread starter
-
- #4,941
toa pepe.. hamna kitu huyu ni beki mwenye bahati
Atleti sio attacking wala possessing team, so mi nadhani tunahitaji kiungo mwenye uwezo wa kukaa na mipira na kutoa pasi, zaidi ya kukaba. Illarra na Lucas wana-fit hapoMkuu angalia vizuri hiyo starting eleven, hapo Pepe sio mmaliziaji, anatakiwa mid inayodefend tu. Pepe anajua kujituma 100% huwezi kumfananisha na Khedira au Illaramendi
Mkuu angalia vizuri hiyo starting eleven, hapo Pepe sio mmaliziaji, anatakiwa mid inayodefend tu. Pepe anajua kujituma 100% huwezi kumfananisha na Khedira au Illaramendi
Atleti sio attacking wala possessing team, so mi nadhani tunahitaji kiungo mwenye uwezo wa kukaa na mipira na kutoa pasi, zaidi ya kukaba. Illarra na Lucas wana-fit hapo
Kroos mzima.Kwani Kroos naye majeruhi?
Kroos mzima.
Kocha atampa namba huyo.
Kroos atacheza nafasi anayocheza kila siku.
Deep lying Mid-fielder. kukaba wanasaidiana viungo wote watatu.Si anacheza kiungo mkabaji siku hizi?
Atleti sio attacking wala possessing team, so mi nadhani tunahitaji kiungo mwenye uwezo wa kukaa na mipira na kutoa pasi, zaidi ya kukaba. Illarra na Lucas wana-fit hapo
Kroos atacheza nafasi anayocheza kila siku.
I'm convinced we can still manage. Kwa Marcelo wampe Concetrao sigara za kutosha itakuwa poa, Illarra/Lucas in 4 Modric, Isco arudi kuziba nafasi ya Bale, Chicharito was on a roll last sabado, apewe nafasi ya Benzo.According to As and Marca, Benzema is highly questionable for Wednesday's Derby. Massive blow for Real's chances considering other injuries.
So, No Marcelo. No Modrić. No Bale. No Benzema.
Imagine a team with badass names, a Verratti, a Benzo, a Isco-disco, a Rolls Reus, a Varane-tor, a Dani'load. Watu wanapigwa kabla hata game haijaanza.
Le10Sport | Perez will attempt to sign one of the following this summer: Pogba, Verratti, Reus, Hazard or Pastore.
Imagine a team with badass names, a Verratti, a Benzo, a Isco-disco, a Rolls Reus, a Varane-tor, a Dani'load. Watu wanapigwa kabla hata game haijaanza.
Pobga na Hazard acha waendelee kufanya mazoezi huko waliko kwanza.
Atleti sio attacking wala possessing team, so mi nadhani tunahitaji kiungo mwenye uwezo wa kukaa na mipira na kutoa pasi, zaidi ya kukaba. Illarra na Lucas wana-fit hapo
Ubingwa au bila ubingwa, FloPe akimpenda mchezaji atamchukua tu. Ngoja tutaona inakuwaje.Kwa kukosa ubingwa mwaka huu, Perez lazima atumia pesa kufanya boost kidogo. Msimu ujao tutaona burudani ya kufa mtu pale Bernabéu.
Yup! Ingekuwa Barca au Bayern kweli angetufaa kwenye hiyo position.yeah.. pepe hafai kwenye hii gemu.. ingekua kwa barca sawa.
watuletee mafundi wa mpira ili tufurahi.. pepe ni beki mjanja mjanja na mwenye bahati.