Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

toa pepe.. hamna kitu huyu ni beki mwenye bahati

Mkuu angalia vizuri hiyo starting eleven, hapo Pepe sio mmaliziaji, anatakiwa mid inayodefend tu. Pepe anajua kujituma 100% huwezi kumfananisha na Khedira au Illaramendi
 
Atleti sio attacking wala possessing team, so mi nadhani tunahitaji kiungo mwenye uwezo wa kukaa na mipira na kutoa pasi, zaidi ya kukaba. Illarra na Lucas wana-fit hapo
 
-Kwa Game ya J5 sio Rahisi Pepe kucheza kiungo mkabaji, labda angekuwa Jose Mourinho angempanga.
-Tangu Carlo aje pale amefumua sana zile mbinu za Mourinho ndo maana akina Alonso na Khedira hawakuwa na chao.
-Pepe kuanza J5 ni nafasi nyingine ya kuwapa chance nzuri Atletico wapite katikati vizuri.
-Inatakiwa akae kiungo mwenye kasi na asiwe mzito sana ktk kukimbia. Nadhani Kroos atafanya kazi hiyo bado, sababu ni mechi nyingi amecheza hivyo kwahiyo ana uzoefu kiasi.
-Timu itafute mbadala wa Modric, lakini kwanini Kocha ameanzisha Kikosi kamili ambacho kingeanza J5? kulikuwa na ulazima kwa akina Modric, Ronaldo na James Rodriguez kuanza ktk hii mechi ambayo mpo Bernabeu?
 
Atleti sio attacking wala possessing team, so mi nadhani tunahitaji kiungo mwenye uwezo wa kukaa na mipira na kutoa pasi, zaidi ya kukaba. Illarra na Lucas wana-fit hapo

Kwani Kroos naye majeruhi?
 
Atleti sio attacking wala possessing team, so mi nadhani tunahitaji kiungo mwenye uwezo wa kukaa na mipira na kutoa pasi, zaidi ya kukaba. Illarra na Lucas wana-fit hapo

For that case, Lucas atatufaa, jumatano watu ambao sitaki kuona uwanja ni Illara, Khedira na Alberoa.
 
Le10Sport | Perez will attempt to sign one of the following this summer: Pogba, Verratti, Reus, Hazard or Pastore.
 
MCL 2nd degree sprain is damage to a more extensive number of ligament fibres but the ligament remains intact.

In a second degree MCL sprain like Modric, the pain is more severe when touched & when the ligament is stressed.

There will usually be a swelling of the knee joint after a second degree MCL, but this may take 24hrs to appear.

A recurrence of the MCL is common if a return is attempted too early. Prevention includes a knee brace in the latter stages & passing early.

11156137_988561387835288_8944340562923321791_n.jpg
11168086_988561467835280_3526634830113118663_n.jpg
994477_988561527835274_6034073106273956255_n.jpg
 
Kroos atacheza nafasi anayocheza kila siku.

According to As and Marca, Benzema is highly questionable for Wednesday's Derby. Massive blow for Real's chances considering other injuries.

So, No Marcelo. No Modrić. No Bale. No Benzema.
 
I'm convinced we can still manage. Kwa Marcelo wampe Concetrao sigara za kutosha itakuwa poa, Illarra/Lucas in 4 Modric, Isco arudi kuziba nafasi ya Bale, Chicharito was on a roll last sabado, apewe nafasi ya Benzo.

Au Nacho azibe nafasi ya Marcelo.
 
Le10Sport | Perez will attempt to sign one of the following this summer: Pogba, Verratti, Reus, Hazard or Pastore.
Imagine a team with badass names, a Verratti, a Benzo, a Isco-disco, a Rolls Reus, a Varane-tor, a Dani'load. Watu wanapigwa kabla hata game haijaanza.

Pobga na Hazard acha waendelee kufanya mazoezi huko waliko kwanza.
 
Kwa kukosa ubingwa mwaka huu, Perez lazima atumia pesa kufanya boost kidogo. Msimu ujao tutaona burudani ya kufa mtu pale Bernabéu.
 
Atleti sio attacking wala possessing team, so mi nadhani tunahitaji kiungo mwenye uwezo wa kukaa na mipira na kutoa pasi, zaidi ya kukaba. Illarra na Lucas wana-fit hapo

yeah.. pepe hafai kwenye hii gemu.. ingekua kwa barca sawa.

watuletee mafundi wa mpira ili tufurahi.. pepe ni beki mjanja mjanja na mwenye bahati.
 
Kwa kukosa ubingwa mwaka huu, Perez lazima atumia pesa kufanya boost kidogo. Msimu ujao tutaona burudani ya kufa mtu pale Bernabéu.
Ubingwa au bila ubingwa, FloPe akimpenda mchezaji atamchukua tu. Ngoja tutaona inakuwaje.
 
yeah.. pepe hafai kwenye hii gemu.. ingekua kwa barca sawa.

watuletee mafundi wa mpira ili tufurahi.. pepe ni beki mjanja mjanja na mwenye bahati.
Yup! Ingekuwa Barca au Bayern kweli angetufaa kwenye hiyo position.
 
Back
Top Bottom