Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Toni anasema baada ya Euro 2024 anatundika daluga,so ni wazi na uhakika anayebaki ni Modric kwa msimu ujao.
Imekuwa taarifa ya ghafla sana., bado nilikuwa ninaona kama ana msimu mmoja tena mbele akituwakilisha, sijui kwanini imekuwa ghafla hivyo.
Nimtakie kila la kheri, ninaamini amefanya maamuzi sahihi.
 
Hata ivo hatumdai. Amepigana sawa sawa ndani ya jezi yetu.
Tuwape vijana wengine fursa.
Moja ya technique ya don perez ni one old player leaves the older remains to induce young generation.
Maestro luca bado yupo kuwajenga vijana

Kwa mazingira ya harakaharaka hakuna mchezaji pale wa kuziba Pengo lake, unless timu iamue kuingia sokoni.
 
Alaba na militao hawatakiwi kabisa kuanza final ya Uefa hawa jamaa ni uchochoro Sana , mwaka Jana Madrid alipigwa 4 na city na Kati ya waliozingua ni Militao aiseee , huyu na alaba wakianza Dortmund apiga ya kutosha , kupata majeraha ilikuwa blessing kwa madrid
 
Alexis macalister amekataa kwenda Real Madrid. Kasema anafurahia sana maisha ya Liverpool.
 
Trent Alexander Arnold amekataa kwenda Real madrid kasema anafurahia sana maisha ya Liverpool.
 
Hahahaha we jamaa umenifanya Michele Ka chizi vile
 

Kwa kweli Nacho amewazidi, na hata Tchouameni akicheza Beki pia ana perform better zaid, timu inahitaji kumpa mkataba Nacho napia waingie sokoni kutafuta Beki wa ziada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…