Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

alibebwa sana na timu, kucheza na Kroos na Modric kwenye peak zao ilimsaidia sana, ila sasa Man Utd kenda kukutana miwa ya haja, kwahiyo alilazimika kufanya kazi ya ziada ambayo nayo ilimfelisha kwa kujiachia, kwa kweli amekuwa mzito sana. atafute connection za kwenda Saudi tu ndio suluhisho.
Mbaya zaidi kakutana na miwa akiwa kashachoka na yeye
 
Wenzetu kwa kutunza kumbukumbu wapo vizuri, hapo Cibeles, pamejengwa Mwaka 1782, na mpka leo pako vile vile, sana sana jamaa wanaendelea kupatunza tu na kurekebisha tu, licht ya Mji kupitia mabadiliko makubwa, sikuwahi kusikia kama jamaa wanapango wa kupavunja.
Na ni sehemu muhimu na ambayo imekuwa ni utamaduni wa Real Madrid kusheherekea ubingwa sehemu hiyo.
 
1715714042522.png
 
Ninadhani uwezekano wa Tchouameni kucheza fainali haupo, so hapa Ancelloti amemchezesha Valverde kama kiungo mkabaji, ninadhani ataenda kupewa majukumu hayo kwenye game ya finali
 
Hata sio siasa man, Carlo hawezi kum-risk mtu aliyekaa bench karibia msimu mzima, anahitaji muda ili arudi katika hali yake, angalia hata Militão makosa anayoyafanya., ndio maana hata mwenyewe ameamua asicheze game za Euro ili apate muda mzuri wa kuendelea na program yake, ili msimu ukianza awe fit.
Lunin ni kweli anafungwa magoli yanayofanana, na yeye anahitaji uzoefu, ni golikipa mzuri, anahitaji zaidi kujiongeza namna ya kusoma mchezo basi.
HIi game ya leo dhidi ya Nyambizi hapa inayoendelea kwa kwel Lunin aanzie bench siku ya Fainal...
 
Ugonjwa ule ule wa mchezaji mmoja kututesa katika game moja ndio unaofanyika hapa...jamaa katupiga nne hapa peke yake hadi sa hvi,Miltao kateseka sana leo hapa..
Militão ameshindwa kum-mark jamaa, muda wote amempoteza, sasa hapo sijui unaanza vipi kumlaumu Lunin, muda wote jamaa anakuwa peke yake anachagua angle ya kupeleka mpira.
Ninadhani Lunin anaona kama Militão na Rudiger wanamhujumu, hawawezi kuwa flop hivyo etii.
 
Back
Top Bottom