Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Msimu ujao
Mbappe anataka ufalme
Vini anataka ufalme
Bellingham anataka ufalme

Yani lazima mpoteane msimu ujao kenge wakubwa nyie
 
4-1-2-3 nahisi ndio itakuwa formation yetu ya mwakani naona don carlo kaijaribu leo hii

Attacking force
 
4-1-2-3 nahisi ndio itakuwa formation yetu ya mwakani naona don carlo kaijaribu leo hii

Attacking force
Don Carlo leo katoa minutes tu, we unaona anampa Luca 90 minutes, maana mkongwe msimu huu kasugua bench kimtindo
 
Japokuwa Lunin tumekuwa nae katika hatua za mtoano,ila ukwel ni kuwa magoli anayofungwa yanakatisha tamaa sana kwa sababu yanafanana.

Natamani sana kumuona Thibo akisimama siku ya fainal,japokuwa naona siasa ya wakongwe inaingialia maamuzi ya benchi la ufundi.
 
Hata sio siasa man, Carlo hawezi kum-risk mtu aliyekaa bench karibia msimu mzima, anahitaji muda ili arudi katika hali yake, angalia hata Militão makosa anayoyafanya., ndio maana hata mwenyewe ameamua asicheze game za Euro ili apate muda mzuri wa kuendelea na program yake, ili msimu ukianza awe fit.
Lunin ni kweli anafungwa magoli yanayofanana, na yeye anahitaji uzoefu, ni golikipa mzuri, anahitaji zaidi kujiongeza namna ya kusoma mchezo basi.
 
Back
Top Bottom