Raj kapool
JF-Expert Member
- Jun 29, 2018
- 1,352
- 2,160
Mbaya zaidi kakutana na miwa akiwa kashachoka na yeyealibebwa sana na timu, kucheza na Kroos na Modric kwenye peak zao ilimsaidia sana, ila sasa Man Utd kenda kukutana miwa ya haja, kwahiyo alilazimika kufanya kazi ya ziada ambayo nayo ilimfelisha kwa kujiachia, kwa kweli amekuwa mzito sana. atafute connection za kwenda Saudi tu ndio suluhisho.