Kuna watu wana kisimati sana yaani Nacho ana UCL tano na mpira hajui 😂😂
Nilikuwa natania 😂😅🤣😁😁 Hala MadridUpoje
Kapuuzi kale kali flipi mpira kwa mguu wa kulia kisha hapo hapo kakaugonga kwa mguu wa kushoto.Kuna tobo moja alikula beki wa BVB asee Vini mtu mbaya ule Mpira aliutuliza usimame miguu ya beki ikapita Vini akabaki kucheka[emoji23][emoji23]
Movement ya hatari hana hata moja
Mpira wake wa kawaida sana
Kuna watu wana kisimati sana yaani Nacho ana UCL tano na mpira hajui 😂😂
Leo game ingeisha mapema sema kroos alipewa jukumu kubwa la kucheza chini mno akimsaidia NACHO.
Jana Jude alikua mwepesi sana...siku zote kwenye mechi nzito kidogo tu yeye hua ndio weak link, kama angekuepo kijana Diaz badala yake Dortmand mapema tu wangelikufa, yeye ni backpass tu kila anapopewa mpira.
Jamaa wangekutana na team nyingine sio ajabu wangechukua Kombe, ila ni bahati mbaya walikutana na Real Madrid.Wale jamaa walikuwa wanakuja kasi muda wote jambo jema vijana wetu walikua kwenye utulivu mkubwa bila hivyo tungekuwa tunaongea mengine muda
Mzee wa ligi umekujaaliekwambia Nacho hajui mpira nani?
Los Blancos; indimitable, all-time champions! Halla Madrid.
Kapuuzi kale kali flipi mpira kwa mguu wa kulia kisha hapo hapo kakaugonga kwa mguu wa kushoto.
Huyu dogo nahisi naye ni illuminat.
Ana 6 saiviHuyo mwamba ndio most decorated Real Madrid player kwasasa.
Kabisa na wangefanikiwa kupata hata goli moja tu basi wangetengeneza ukuta mgumu mno.Jamaa wangekutana na team nyingine sio ajabu wangechukua Kombe, ila ni bahati mbaya walikutana na Real Madrid.