Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

1717335379580.png
 
Hili li timu linacheza ovyo ovyo tu ,halafu linashinda ,mpira mbovuuuu ,hamna ladha .
Pumbavu ,mbeleko fc haikupaswa kuvuka semifinal ,Tuchel na Bayern walifanyiwa hujuma
 
kama ingekua kucheza mpira mzuri kunaleta makombe kipara leo angekua anaongoza kwa kubeba champions leauge
 
Mpaka nilipasua simu kwa hasira nawachukia mno. Akitoka shetani kwenye list yangu mnafata nyie
 
Back
Top Bottom