Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,502
- 6,049
Sure yule nacho mpira wake wa kawaida sana😂🙌Kuna watu wana kisimati sana yaani Nacho ana UCL tano na mpira hajui 😂😂
Kivipi yani kiongozi 🙌Huyu dogo nahisi naye ni illuminat.
Yule shabiki alivamia uwanja nahisi ni mbinu za illuminat kusambaza dini yao.
Pole sana MkuuView attachment 3006929
Mpaka nilipasua simu kwa hasira nawachukia mno. Akitoka shetani kwenye list yangu mnafata nyie
Bibie umeolewa? samahan lakini ikiwa nitakua nimeingilia faragha yako.KRoos na modric wamesepa kuanzia msimu ujao lazima mpoteane
Kwani huyu ni bibie au babueeh 😆Bibie umeolewa? samahan lakini ikiwa nitakua nimeingilia faragha yako.
Kwani huyu ni bibie au babies
Mabeki wavivu waanze kustaafu mapemaHalla Madrid Los blancos 🏳️🏳️ forever 🔥🔥
View attachment 3007765