Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Nimesikia unahodha anapewa Modric
Sio unasikia, ndio mtiririko ulivyo, club ina utaratibu wake jinsi ya mchezaji kuwa Nahodha, kwamba aliyehudumu muda mrefu ndani ya club ndio anapewa hiyo hadhi, na wasaidizi wake wanapatikana hivyo hivyo.
Msimu uliopita tulikuwa na Nacho, Modric, Dani na Kroos., hapo wameondoka wawili.
So Luka ndio atakuwa captain sasa akisaidiana na Dani Cavarjal., kisha atafuata Lucas Vazquez., Valverde Courtois na Vinicius Jr.
Mtiririko upo hivyo.
 
Yaani hakuna pre season inayosubiriwa kwa hamu kama hii. Wakimaliza UefaEuro yao, wachezaji wanaenda likizo few weeks ndio tunaanza sherehe

Pre season fixture iko hivi
July 31 Real Madrid vs AC Milan - Chicago.
August 3 Catalans vs Real Madrid - New Jersey
August 6 Chelsea vs Real Madrid - South Carolina
 
Real Madrid went out of stock dakika 60 (1 hour) baada ya kuanza kuuza jezi ya Mbappe

Real Madrid statement read:
"Due to current high demand, items in this collection may experience a delay in delivery of up to 4-6 additional weeks, regardless of the shipping method selected. This delay will affect both orders exclusive to the Mbappé collection and those that combine products from the Mbappé collection with other products from the online store.”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…