Anko Bantu
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 832
- 1,034
Nimesikia unahodha anapewa Modric
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio unasikia, ndio mtiririko ulivyo, club ina utaratibu wake jinsi ya mchezaji kuwa Nahodha, kwamba aliyehudumu muda mrefu ndani ya club ndio anapewa hiyo hadhi, na wasaidizi wake wanapatikana hivyo hivyo.Nimesikia unahodha anapewa Modric
Kocha la dunia linajilia zake bataView attachment 3030038
Imekaa poa.Kylian Mbappé is set to have his Real Madrid unveiling at the Santiago Bernabéu on July 16th in front of 80,000 fans, wearing the number 9 shirt according to reports.
HesgoalKwa anayejua sehem ya kucheki hii live presentation ya mbape.
East African time;1600hrs
View attachment 3043759
Naona na YouTube account yao wanaonesha pia🙌Hesgoal
Yalla shoot
Naamini watapita nayo