BJB FC
JF-Expert Member
- Aug 25, 2015
- 2,064
- 2,312
Hii umeipata mtandaoni huko. Tupe ya kwako.Ukichungulia unamuona Valverde akianzia nje? Kutoka moyoni kabisa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii umeipata mtandaoni huko. Tupe ya kwako.Ukichungulia unamuona Valverde akianzia nje? Kutoka moyoni kabisa?
we shangingi unapenda sana attention.Nyie masista mpo naona mtoto lamine yamal anawafanya mnahenya hamlali
Overrated player
Mpaka hapo atakapoanza kucheza ndio tutajua kama ni overrated ama laaOverrated player
Overrated player
Huyo dogo hamna kitu kwanza ashaanza kuwa na Ego mapema wakati kiwango chake ni Cha kawaida mno ana mengi ya kujifunza kutoka kwa Lamine Yamaal na Nico Williams Jrdah ni kweli kiupande flani, mpaka sasa kwa kweli sijaona kitu, labda tusubirie siku zambeleni
2:00am saa za Africa MasharikiTonight we host barca in U. S A
#EL CLASSICO
Matokeo yenu tunayo mbwa nyie mmepigwa na Barcelona
Matokeo yenu tunayo mbwa nyie mmepigwa na Barcelona
Najua unaumia sana kufungwa na under 18Ndio mfanye sherehe sasa kwasababu hata mwaka jana friendly ndio game pekee iliyowatoa kifua mbele