IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,362
- 6,274
Kupangwa na nyie sio issue,shida umekurupuka na hujui jinsi mkeka utakavyoenda kuwekwa .unaropoka sana fatilia vizuri Afu baadae ndo uje uropoke vizuriTume pangwa na nyie kenge pori. nilikuwa nasubiri hii siku hatimaye imekuja. NAsemaje Mtaeleza yani mlizoea kumuonea Babu klop saivi nawakomesha. Nawachukia sana real madrid akitoka shetani na ccm mnafata nyie kwa kuwachukia.
Hio namba ilikuwa ya camavinga sema hilo lishenzi lilimvunja apate nafasiUnamuacha kross kisa shuameni 🤣🤣🤣🤣🤣 na bado vipigo vinakuja
Na hapo ndio utakuwa mwanzo wa matatizo katika timu, binafsi sikuona umuhimu wa Mbape kuja Madrid maana timu ilikuwa imekamilika sana .Kati ya mbappe na vini mmoja akae bench Akili ziwakae sawa
Ancelloti hana huo udhubutu, Zidane angeweza ila sio huyo jamaa., ninadhani tunapoelekea ni lazima aue winga ya kulia aongeze kiungo mmoja ili team iweze kukaa sawa., kwasababu team imekufa kati kati, labda tusubiri Camavinga na Bellingham warudi tuone watapangwa vp na team itachezaje.Kati ya mbappe na vini mmoja akae bench Akili ziwakae sawa
Jude akiwepo anaonyesha kitu ila ngoja tuone
Wewe nae na chuki zako unakuaga kama mwanamkehakuwepo mechi ya Mallorca? alionesha nini cha ziada?
Wewe nae na chuki zako unakuaga kama mwanamke
Wewe hua ni kumponda Jude bila hata kua na fact em nenda kaangalie twakimu za wachezaji wote kwenye hio mechi ya Mallorca ukitoa Rodrygo aliefutia kwa performance ni nani kama sio Jude?hapa chuki ziko wapi?
Wewe hua ni kumponda Jude bila hata kua na fact em nenda kaangalie twakimu za wachezaji wote kwenye hio mechi ya Mallorca ukitoa Rodrygo aliefutia kwa performance ni nani kama sio Jude?