Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,502
- 6,049
This season tuna safari ndefu sana [emoji3][emoji3][emoji3]Daah, hawa jamaa wameshagongesha mwamba mara tatu.,
Hali yetu ni tete sana, ila tutafika tu
Ansu fati mlisemaga ivo ivo. Sa iv ansu fati afadhali ya MABULULU wa ANGOLAHey Madada Fc 😂😂,we are back,forca BarcaView attachment 3097418
Wait,utamuona huyo dogo msimu,alafu kam hujui Ansu Fati n finisher hatar kuliko huyo Vin wenu,so n suala la muda still kijana ana 21 yrsAnsu fati mlisemaga ivo ivo. Sa iv ansu fati afadhali ya MABULULU wa ANGOLA
Kumbuka tuna majeruhi wengi bro. Afu nimegundua kitu opponents wetu wanakamia mno.Timu inapitika lirahisi sana, daaah msimu huu mgum kwetu