Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Hey Madada Fc 😂😂,we are back,forca Barca
20240916_115520.jpg
 
UEFA CHAMPIONS LIGUE

Naam hiki ni Kikosi cha Real Madrid C.F. dhidi ya VFB Stuttgart.

Mzee wa fitna Dani Carvajal anakanyaga beki ya Kati leo.

Tchouameni, Bellingham na Lucas Vascuez wote ndani.

Tushachagua wenyewe wajerumani hua hatuziki tunawasafirisha.

Halla Madrid.
 

Attachments

  • FB_IMG_1726597014675.jpg
    FB_IMG_1726597014675.jpg
    82 KB · Views: 3
HT: Tuna kasi,tuna malengo ila hatuna mbinu,wachezaji wa eneo la ushambuliaji hawaaminiani,sehemu za mtu kutoa pass anataka apige yeye wakat yupo kwenye nafasi mbaya,sehemu yakuendeleza kasi mtu anapoozesha mpira..kimsingi hili ni tatizo la kocha kushindwa kutengeneza mifumo au mfumo wakutengeza nafasi..kwa mwendo huu siyo ajabu timu ikawa inaendelea kupata ushindi mwembamba au wakutegemea penalt(s)..na kwa namna hii sion kama Christmass ikimkutana babu carlo pale.
 
Back
Top Bottom