Murashani GALACTICO
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,511
- 5,390
Hapana, atakuwepo, mpka zifike kadi tano.Vin ana yellow card 3 mfululizo kwahyo Derby anaikosa?
Good news. Kukosekana kwa CAMAVOO upangaji wa vikosi unakuwa mgumu. Amerudi tenaCamavinga ameanza mazoezi na team, inawezekana kwenye game mbili zijazo akawe sehemu ya kikosi.
Hili linaweza kuja kuwa tatizo kubwa sana huko mbele ambalo litaweza muharibia ikiwa hatakuwa mtulivu, uongozi pamoja na benchi la ufundi waliangalie hili na wajue namna ya kumsaidia kuondokana na hii hali.Hapana, atakuwepo, mpka zifike kadi tano.
Ila Vini ana utoto mwingi sana, hizo kadi zote zinatokana na kubishana ama kupinga maamuzi ya refa.
Dogo mwenyewe sijui hata kama anashurika, anaongea sana aisee, kitu hakimpiti., hiyo ndio ile unasikia hupewi kila kitu.Hili linaweza kuja kuwa tatizo kubwa sana huko mbele ambalo litaweza muharibia ikiwa hatakuwa mtulivu, uongozi pamoja na benchi la ufundi waliangalie hili na wajue namna ya kumsaidia kuondokana na hii hali.
Sana sana., majeraha yake yalimpasua Carlo kichwa sana., akirudi inakuwa rahisi sasa kufanya manoeuvre kwenye midfield.,Good news. Kukosekana kwa CAMAVOO upangaji wa vikosi unakuwa mgumu. Amerudi tena
Nimekuta taarifa forbes inaonyesha uongozi, benchi la ufundi hata na wachezaji wenzie pia hawapendezwi na tabia yake.Dogo mwenyewe sijui hata kama anashurika, anaongea sana aisee, kitu hakimpiti., hiyo ndio ile unasikia hupewi kila kitu.
Dogo mwenyewe sijui hata kama anashurika, anaongea sana aisee, kitu hakimpiti., hiyo ndio ile unasikia hupewi kila kitu.
HT: Atletico Madrid 0-0 Real Madrid