Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

FB_IMG_1725557036519.jpg
 
Hapana, atakuwepo, mpka zifike kadi tano.
Ila Vini ana utoto mwingi sana, hizo kadi zote zinatokana na kubishana ama kupinga maamuzi ya refa.
Hili linaweza kuja kuwa tatizo kubwa sana huko mbele ambalo litaweza muharibia ikiwa hatakuwa mtulivu, uongozi pamoja na benchi la ufundi waliangalie hili na wajue namna ya kumsaidia kuondokana na hii hali.
 
Dogo mwenyewe sijui hata kama anashurika, anaongea sana aisee, kitu hakimpiti., hiyo ndio ile unasikia hupewi kila kitu.
 
Kipindi cha kwanza tumecheza kwa umakini sana, vijana wanajitahidi sana kutofanya makosa.,ninadhani kipindi cha pili team itabadili mtazamo.
Atletico kama kawaida yao,kati kati wanakuwaga na utitiri wa viungo,, mbinu yao ya kupiga pasi ndefu kwa kipindi hiki tumeithibiti vyema.
 
Kwa mara ya kwanza leo ninaona Vinicius habishani na mashabiki wala refa, ninadhani ameamua kuwa mtulivu, ila sasa akiwafunga, mmh patachimbika hapo.
 
Back
Top Bottom