Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,502
- 6,049
kisa ni nini?Mpira umesimamishwa kwa muda., baada ya dakika 10 team zitarejea uwanjani.
Mashabiki wa Atletico walikuwa na kazi ya kurusha makopo na viberiti vya gasi golini kwa Courtoiskisa ni nini?
Atletico ndo tabia yao sijui hawakui hawa jamaaaakisa ni nini?
Leo walikuwa na campaign against Vinicius, ila vizuri Vinicius lei amekuwa mtulivu kweli kweliAtletico ndo tabia yao sijui hawakui hawa jamaaaa
machizi soka hao, hiyo timu ilipaswa iwe ya Uturuki😂Mashabiki wa Atletico walikuwa na kazi ya kurusha makopo na viberiti vya gasi golini kwa Courtois
Wapo kama waarabu wa middle eastAtletico ndo tabia yao sijui hawakui hawa jamaaaa
Kama msimu uliopita, jamaa walitufunga dakika za jioniDoh!maninaaa...dakika za jiooooni kabisa tunashindwa kubana...
Halafu huyu jamaa hakuna msimu timu yake ipo kiboya boya. Ana watu haswa.Simeone anafundisha mpira mzuri sana, pasi za haraka haraka, timu inaflow paka unaenjoy