Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Hii game hadi HT sa hv tunacheza kama umitashumta vile,eneo la kati limepoa balaa hakuna ubunifu,Jude hii game ina kasi kuliko uwezo wake,huyu dogo Endric ndio kabisa...Camavinga naona kukaa nje ya uwanja muda mrefu kumemuathiri...waingie watu wenye kasi na ubunifu kuliko hawa waliopo..sasa hivi watarudi nyuma kufanya block,so lazima tupate watu wenye uwezo wakufanya maamuzi ya haraka nakupiga ile mipira curved kwa uhakika..mjomba Modric ,Brahim waingie.
 
Huu msimu kila game ngumu *****. Nchuaméni huu msimu wa ngapi anacheza? Yeye ndio alitakitakiwa abebe middle yote pale wala asiwe na tamaa ya kufunga kwasababu Jude ni kiungo mshambuliaji tayari.
Lakini hakuna noma, baada ya half of the season watakaa sawa tu. Niliona mpira waliocheza na Atletico. Wanatakiwa wacheze vile kila game
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kenge nyie na bado mtapigwa sana. Eti Star wenu vini na Tappingham🤣🤣🤣🤣

Nawachukia sana nyie kenge. Wakitoka Shetani, Ccm na polisi wa tz mnafata nyie kwa kuwachukia.
 
Hii game Carlo aliiunderestimate sana,kuchezesha Endrick asiye na uzoefu wa game za UCL na Camavinga katoka majeruhi na mbaya zaidi game ni away...hii timu msimu huu itatutia pressure,ndo mwanzo,tukikutana na timu ambazo zipo vizuri tutapigwa kipigo cha mbwa mwitu na aibu..leo yenyewe hapa tumeshaharibu record.
 
Mi mwenyewe nimeshangaa sana kumuanzisha Dogo Endrick, lakini kingine kuna wachezaji Game inawakataa mapema sana lakini unaona bado wanapewa dakika, Leo Vini hakuwepo kabisa yule tuliyemzoea walau angemjaribu hata Rodrigo
 
Kumbe kufungwa ndo inaumaga hivi.

Doni namuheshimu sana ila baada ya Msimu kuisha apishe vijana wajenge timu.

Madrid ina wachezaji bora lakini haitishi kwa sababu haina muunganiko!!!!

Kila mchezaji anacheza kivyake yaani tunategemea uwezo binafsi wa wachezaji.

Sasa Kuna game baadhi ya wachezaji wanakua hawapo vizuri mapema tu..

Ila kwa kua kakariri Sub mpaka dakika za 70+ timu iwe imefungwa au haijafungwa yaani Kila siku mbinu zile zile.

Mzee abadilike aisee asijekumaliza career vibaya.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kenge wakubwa nyie mlidhani kitonga leo.

Nawachukia sana nyie kenge
Wakitoka Shetani, CCM na polisi wa Tz mnafata nyie kwa kuwachukia
Ndugu approach unayotumia kushabikia ni ngum sana,kuanzisha mjadala wapinzani wako ni ngum,punguza maneno makali,ni ushauri tu kaka
 
Kumbe kufungwa ndo inaumaga hivi.

Doni namuheshimu sana ila baada ya Msimu kuisha apishe vijana wajenge timu.

Madrid ina wachezaji bora lakini haitishi kwa sababu haina muunganiko!!!!

Kila mchezaji anacheza kivyake yaani tunategemea uwezo binafsi wa wachezaji.

Sasa Kuna game baadhi ya wachezaji wanakua hawapo vizuri mapema tu..

Ila kwa kua kakariri Sub mpaka dakika za 70+ timu iwe imefungwa au haijafungwa yaani Kila siku mbinu zile zile.

Mzee abadilike aisee asijekumaliza career vibaya.
Tatizo kubwa kwenye team hakuna muuunganiko kuanzia kati Hadi juu,pili uninafsi mwingi kila mmoja anataka kuonekana,no 10 muda wote kudrible tu,ngoja tuone game ijayo
 
Carlo kafanya record ivunjwe kizembe kabisa.
 
Attachments

  • Screenshot_20241003_081253_X.jpg
    Screenshot_20241003_081253_X.jpg
    333.2 KB · Views: 6
  • Screenshot_20241003_081239_X.jpg
    Screenshot_20241003_081239_X.jpg
    177.7 KB · Views: 5
Mi mwenyewe nimeshangaa sana kumuanzisha Dogo Endrick, lakini kingine kuna wachezaji Game inawakataa mapema sana lakini unaona bado wanapewa dakika, Leo Vini hakuwepo kabisa yule tuliyemzoea walau angemjaribu hata Rodrigo
Hii game Carlo aliiunderestimate sana,kuchezesha Endrick asiye na uzoefu wa game za UCL na Camavinga katoka majeruhi na mbaya zaidi game ni away...hii timu msimu huu itatutia pressure,ndo mwanzo,tukikutana na timu ambazo zipo vizuri tutapigwa kipigo cha mbwa mwitu na aibu..leo yenyewe hapa tumeshaharibu record.
Ila binafsi kikosi kilichoanza ni kama Don Carlo aliwa under estimate Lile

Rodrygo na Mbappe wote ni injury sasa mulitaka aanze nani mwengine wakuu?
 
hawa wanaojiita wapenzi wa real Madrid Gen Z ni ovyo sana, time imefungwa kwa mara kwanza kwa karibu mechi 40, unawakuta mitandaoni wanalalmika kocha afukuzwe, PUMBAV kabisa.
 
Madrid ina wachezaji bora lakini haitishi kwa sababu haina muunganiko!!!!

wachezaji wa real madrid wengi wao ni hawana huo ubora mkubwa sana wanabebwa na mazingira ya timu zaidi.

vini ndani ya brazil ni kituko, same for rodrygo na militao
camaving ni still bench player France, mendy hata kuitwa national team kwa shida

kwa kifupi wengi wao wana perform their best hapo ndani ya club.
 
Back
Top Bottom