IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,362
- 6,274
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi mwenyewe nimeshangaa sana kumuanzisha Dogo Endrick, lakini kingine kuna wachezaji Game inawakataa mapema sana lakini unaona bado wanapewa dakika, Leo Vini hakuwepo kabisa yule tuliyemzoea walau angemjaribu hata RodrigoHii game Carlo aliiunderestimate sana,kuchezesha Endrick asiye na uzoefu wa game za UCL na Camavinga katoka majeruhi na mbaya zaidi game ni away...hii timu msimu huu itatutia pressure,ndo mwanzo,tukikutana na timu ambazo zipo vizuri tutapigwa kipigo cha mbwa mwitu na aibu..leo yenyewe hapa tumeshaharibu record.
Ndugu approach unayotumia kushabikia ni ngum sana,kuanzisha mjadala wapinzani wako ni ngum,punguza maneno makali,ni ushauri tu kaka🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kenge wakubwa nyie mlidhani kitonga leo.
Nawachukia sana nyie kenge
Wakitoka Shetani, CCM na polisi wa Tz mnafata nyie kwa kuwachukia
Tatizo kubwa kwenye team hakuna muuunganiko kuanzia kati Hadi juu,pili uninafsi mwingi kila mmoja anataka kuonekana,no 10 muda wote kudrible tu,ngoja tuone game ijayoKumbe kufungwa ndo inaumaga hivi.
Doni namuheshimu sana ila baada ya Msimu kuisha apishe vijana wajenge timu.
Madrid ina wachezaji bora lakini haitishi kwa sababu haina muunganiko!!!!
Kila mchezaji anacheza kivyake yaani tunategemea uwezo binafsi wa wachezaji.
Sasa Kuna game baadhi ya wachezaji wanakua hawapo vizuri mapema tu..
Ila kwa kua kakariri Sub mpaka dakika za 70+ timu iwe imefungwa au haijafungwa yaani Kila siku mbinu zile zile.
Mzee abadilike aisee asijekumaliza career vibaya.
Dogo ana miaka 17 ila ana Ego balaa ,
Bellingham, Vinicious Jr, Mbape na Endrick Hawa wachezaji Anceloti kazi anayo maana Kila mmoja anapenda
Mi mwenyewe nimeshangaa sana kumuanzisha Dogo Endrick, lakini kingine kuna wachezaji Game inawakataa mapema sana lakini unaona bado wanapewa dakika, Leo Vini hakuwepo kabisa yule tuliyemzoea walau angemjaribu hata Rodrigo
Hii game Carlo aliiunderestimate sana,kuchezesha Endrick asiye na uzoefu wa game za UCL na Camavinga katoka majeruhi na mbaya zaidi game ni away...hii timu msimu huu itatutia pressure,ndo mwanzo,tukikutana na timu ambazo zipo vizuri tutapigwa kipigo cha mbwa mwitu na aibu..leo yenyewe hapa tumeshaharibu record.
Ila binafsi kikosi kilichoanza ni kama Don Carlo aliwa under estimate Lile
Madrid ina wachezaji bora lakini haitishi kwa sababu haina muunganiko!!!!