Carlo kafanya record ivunjwe kizembe kabisa.
kizembe vipi mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Carlo kafanya record ivunjwe kizembe kabisa.
Tatizo kubwa kwenye team hakuna muuunganiko kuanzia kati Hadi juu,pili uninafsi mwingi kila mmoja anataka kuonekana,no 10 muda wote kudrible tu,ngoja tuone game ijayo
Wangekua wachezaji wa kawaida wasingechukua uefa na la liga mzee.wachezaji wa real madrid wengi wao ni hawana huo ubora mkubwa sana wanabebwa na mazingira ya timu zaidi.
vini ndani ya brazil ni kituko, same for rodrygo na militao
camaving ni still bench player France, mendy hata kuitwa national team kwa shida
kwa kifupi wengi wao wana perform their best hapo ndani ya club.
Wangekua wachezaji wa kawaida wasingechukua uefa na la liga mzee.
Hebu fikiria Carlo Angekua na kikosi kama cha Barcelona angelitoboa hata top 4 kweli?
Kwa namna Carlo anavyofundisha saivi ukimpa timu kama Barcelona hata top 4 hatoboi.
Kumshusha vin na Rodrigo kisa kuto-perfome national team hilo umenishangaza pia.
mfano Halaand na Lewandowski wanapokuaga bora kwenye club zao hua wanatoa Ubora huo huo kwenye mataifa yao?
Wangekua wachezaji wa kawaida wasingechukua uefa na la liga mzee.
Hebu fikiria Carlo Angekua na kikosi kama cha Barcelona angelitoboa hata top 4 kweli?
Kwa namna Carlo anavyofundisha saivi ukimpa timu kama Barcelona hata top 4 hatoboi.
Kumshusha vin na Rodrigo kisa kuto-perfome national team hilo umenishangaza pia.
mfano Halaand na Lewandowski wanapokuaga bora kwenye club zao hua wanatoa Ubora huo huo kwenye mataifa yao?
Wewe ndio unachekesha mzee hujui maana ya ubora.unachekesha sana mkuu, Halland ana 31 goals kwenye 33 games national team, Lewandoski and nearly 80 goals national team sasa unataka waoneshe ubora gani mwengine mkuu?
Mimi sikatai kua Carlo ndio kawapandisha viwango wale watoto.vini na rodrygo before carlo walikuwa ni takataka, carlo ndie aliwadevelop wakafika hapo walipo.
halafu mkuu unaichukulia poa squad ya barca? yani timu ina lewandoski, Olmo, Pedri, Rafinha, Yamal, Gavi, De jong, ter stegen, araujo, kounde yani unakifanya kikosi dhaifu?
Mimi sikatai kua Carlo ndio kawapandisha viwango wale watoto.
Ila kila lenye mwanzo hua lina-mwisho wake mzee Don naona huu ni kama mwisho wa zama zake japo natanguliza heshima kwa yote aliyoyafanya.
Kuhusu Barcelona tusiwe wanafiki hii timu kabla ya Ligi kuanza hakuna alikua anaichukulia kwa ukubwa kama anavyoichukulia sasa.
Lazima kusifu uwezo wa kocha.
Wewe ndio unachekesha mzee hujui maana ya ubira.
Lewandski amecheza mechi ngapi ili kumfikia hizo goli 80? Na Kwenye hizo goli 80 zimeinufaisha nini Poland?
Halaand ana goli 30 sawa ila inakuje anashindwa kuipeleka nchi yake euro ama world cup?
Ubora Si kufunga goli nyingi ubora ni kuwafunga walio- bora.
Hata kama goli chance ila hua zina tahamani.
Mimi sikatai kua Carlo ndio kawapandisha viwango wale watoto.
Ila kila lenye mwanzo hua lina-mwisho wake mzee Don naona huu ni kama mwisho wa zama zake japo natanguliza heshima kwa yote aliyoyafanya.
Kuhusu Barcelona tusiwe wanafiki hii timu kabla ya Ligi kuanza hakuna alikua anaichukulia kwa ukubwa kama anavyoichukulia sasa.
Lazima kusifu uwezo wa kocha.
Sio mimi hata wewe sema unajichetua hapa.unafiki upo wapi? Barca wamebeba ligi msimu wa mwaka juzi, last season wamemaliza na 80 + points, wamefanya usajili mzuri na pia vijana wao performance zao kila siku zinavyokwenda zinazidi kukua, ikiwa wewe ulikuwa unaichukulia poa hilo ni tatizo lako wewe mkuu.
Ku-perfome poor ndani ya Brazil sijakataa nachokataa wewe kusema Sio wachezaji bora kwa kigezo hicho.hakuna mchezaji mmoja anaeweza kuipa kombe taji la world cup au hata kuipeleka world cup timu, football ni team game na sio mchezaji mmoja, ila je performance zao wao kama wao haziridhishishi? unauliza goli 80 zimeinufaishi nini poland? ni mashindano mangapi ya kimataifa Poland imeweza kushiriki ikiwa na lewa ndani yake? hayo magoli 100 wanaiyosifiwa messi na ronaldo unayajua na wao wameyafunga kwenye mechi ngapi?
Vini na rodrygo waamekuwa waki perfume poor ndani ya Brazil hilo halina utetezi mkuu.
Hapana mkuu ni muda sasa tumekua tukishinda kimazabe.kinachokufanya uone zama zake zimeishia ni baada ya kufungwa mechi moja baada ya mechi karibu 40? huku ikiwa ni miezi mitatu baada ya kushinda 2 big trophies?
Sio mimi hata wewe sema unajichetua hapa.
Mbona hukuwasifia hivi Kabla ya Msimu kuanza?
Unapima ubora wa msimu huu dhidi ya Msimu juzi huoni kama we jamaa una matatizo?
Yaani Utadhani Msimu wa hapo katikati waliondoka wachezaji wote harafu ndio wamerudi tena Msimu huu. 😁
Barcelona iliyochukua la liga Msimu juzi Huwezi kulinganisha na hii kivyovyote.
Kocha wao kafanya kazi ya ziada usibishe mzee.
Ku-perfome poor ndani ya Brazil sijakataa nachokataa wewe kusema Sio wachezaji bora kwa kigezo hicho.
Mfano Rafinha ni raia wa wapi?
Na Kafanya nini Kwenye taifa lake?
Leo hii mbona umemtaja kama mchezaji bora kwa barca!!! Kwa kigezo kipi?
Ingekua sio dhaifu ingemaliza juu ya Real Madrid.msimu ulioisha wamemaliza na 80+ points, unaiitaje hiyo timu dhaifu?
Mimi nilimsifia kocha wa barca, wew ukaja na hoja kua barca wana kikosi kizuri ukawataja kina Rafinha..ni wapi nilisema kuwa Rafinha anambeba kocha wa barca kama wawe ulivyojaribu kusema kuwa hao kina vina wanambeba kocha? ni wachezaji wazuri ambao wanaweza ku perform wanapopata kocha mzuri akaweza kuwatumia vizuri. lakini munapo jaribu kusema kuwa kuwa ubora wao ndio unaombeba kocha ni hoja ya kitoto sana, mana hatujawahi kuona chochote kwao nje ya huyo kocha. Belingham kabla ya kukutana na Carlo hakuwahi hata kufika goli 10 kwenye msimu.
Ingekua sio dhaifu ingemaliza juu ya Real Madrid.
niite majina yote mzee ila Barcelona ya sasa haina wachezaji wa kulinganisha na wa Real Madrid.sasa huo ndio utoto mkuu, nimekuelewa.
niite majina yote mzee ila Barcelona ya sasa haina wachezaji wa kulinganisha na wa Real Madrid.
Washukuru uwepo wa Hans Flick.
Just imagine anapanga hadi vitoto havijulikani ila vinawasha moto tu.