Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Kuna nafasi kubwa Liverpool wanaiacha wakati wanaenda kushambulia, ni bahati mbaya tu hatujaweza kuitumia., unahitajika utulivu wa washambuliaji wetu
 
Brahim diaz akienda right wing na endrick(arda aende bench) kuwa 9 itakuwa vyema kabisa.
 
Kenge nyie mlizoea kumuonea babu klopp kenge nyie siwapendi. Wakitoka shetani na ccm mnafata nyie kwa kuwachukia
 
Unatuwekea kikongwe Modric sisi hivi nyie wazima kweli
???
Nawachukia sana akitoka shetani na ccm mnafata nyie kwa kuwachukia
 
Hiki kigenge kimepoteana.

Jana yamewakuta mazito poleni sana.
 
Back
Top Bottom