pierre tall
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,131
- 3,505
Huyu Mbappe magoli anayokosa ni 99% ya nafasi anazopata,inatakiwa afanye mazoezi sana yakutumia nafasi..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nindhani alipania sana kuwakera PSG, bahati mbaya mambo hayajaenda alivyotaka., kilichobaki ni atulize kichwa tu sasa,afanya mazoezi kadri anavyoweza.Huyu Mbappe magoli anayokosa ni 99% ya nafasi anazopata,inatakiwa afanye mazoezi sana yakutumia nafasi..
Hiyo itakuwa safi sana...maana kwa kwel anatucost na anakuwa na haraka na maamuzi sana,hana utulivu eneo la mwisho.Nindhani alipania sana kuwakera PSG, bahati mbaya mambo hayajaenda alivyotaka., kilichobaki ni atulize kichwa tu sasa,afanya mazoezi kadri anavyoweza.
Kuna sehemu nimeona kuwa Club imemcheck Zidane ili afanye mazungumzo na kijana,
New HazardMbappe apunguze papara kila kitu kitaenda sawa, Ceballos ni staring material lazima aanze sijali nani atakaa bench. analeta kitu bora kuliko wengine wote ndani ya midfield.
New Hazard
Sijui Ancelotti atajifunza lini, tuna mpigaji mzuri tu kwa Bellingham, bado anampa Mbappé nafasi ya kupiga, shida ni nini?
Game ya pili hii ya kuamua matokeo huyu jamaa anatuuza tena.
Too much back passes huwa inasababisha mchezaji kukosea , kosa ni game plan Kwa manager , ukweli ni kuwa kocha anatakiwa afukuzwe kazi , timu inabaki Sana nyuma , hii inafanya wapinzani wabane space zote , adar guler ana uwezo wa dribbling lakini kocha still anacomand back passes , Kati Kati hamna creativity, issue ya mbappe ni kutokana na vipengele vya mkataba ndo mana anacheza Hadi mwisho ila mwamba ni mzigoHii team bana, Valverde ametuchoma, sijui hata ni nani mwenye afadhali.