Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,502
- 6,049
FT: Girona 0-3 Real Madrid
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Marcia aligeuzwa kama mtoto mdogo, huku Vazquez anashangaa watu wapiga vichwa, ajabu sana.Tumekaa bao mbili kwa Rayo kama sio.Real Madrid. Nafikiri hii tu haiko serious kabisa.
Haikuwa rahisi, baada ya kuwa nyuma kwa goli mbili vijana wamepambana mpka wamerudi mchezoni, tumefungwa kutokana na makosa ya kiulinzi., Marcia na mwezie Vazquez wamekuwa sio watu wa kuaminika kwenye ulinzi, kiukweli kwenye upande wa full backs tuna upungufu mkubwa tu, acha tuone kama January litafanyika jambo.
Acheni lawama zenu za 'kiduwanzi'Vazquez wa msimu huu sio yule tuliemzoea, hayuko sawa kwenye marking huu ni wakati wa kutafuta full back ya kweli
Acheni lawama zenu za 'kiduwanzi'
Mbona tukishinda game haya mapungufu hamyasemi
Lawana gani man, tuna mapungufu kwenye full backs msimu huu, si Fran Garcia wala Lucas Vazquez anayecheza vizuri., tumefungwa goli tatu zote ni mapungufu ya kiulinzi, ulitaka mtu atoe magnificent gani?Acheni lawama zenu za 'kiduwanzi'
Mbona tukishinda game haya mapungufu hamyasemi
Watani kwema? Anaefahamu app ya kustream mechi za laliga anipe tag tafadhali.
Thanks mtani, acha niichek. Niko chaka, na bado nataka kumuona Yamal na project Mbappe!Kama unatumia Android nenda Appstore download app inaitwa 'Live Football TV' utanishukuru baadae