PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 12,181
- 20,148
Thanks mtani, acha niichek. Niko chaka, na bado nataka kumuona Yamal na project Mbappe!
😅😅😅😅
Umepigwa kidude dakika ya 4' mpaka sasa ni ya 35' bado huna hata shot on target
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thanks mtani, acha niichek. Niko chaka, na bado nataka kumuona Yamal na project Mbappe!
😅😅😅😅
Tunashindwa kutumia hizi nafasi za hawa jamaa kufungwa, Atletico ndio ninaona wapo serious.Umepigwa kidude dakika ya 4' mpaka sasa ni ya 35' bado huna hata shot on target
Tunashindwa kutumia hizi nafasi za hawa jamaa kufungwa, Atletico ndio ninaona wapo serious.
Niliiwahi game, nikawa naangalia huku najiuliza, kwa huu uchezaji tuliwezaje kumkanda mtani goli nne na Bayern? Nafasi zinatengenezwa kama mia, ila hakuna anaetaka kufunga.Umepigwa kidude dakika ya 4' mpaka sasa ni ya 35' bado huna hata shot on target
😂😂Nyie kenge mpo wazima? Aisee nimekuja kuwakumbusha kuwa mimi ninawachukia mno. Sidhani kama kuna mtu humu duniani anaichukia Real madrid kwa kiwango nilichonacho mimi, Wakitoka CCM na shetani mnafata nyie kwa kuwachukia.
Kwahiyo unasubiri mbelekoTupo dimbani vs Valencia. Papa Perez alitoa msaada wa takribani bilioni tatu za kibongo kwa wa Valencia baada ya janga la DANA.
Mashabiki wa Valencia wamempokea Perez na Madrid kwa vigelegele leo. Tunasubiri uwanjani, watatulia au wataleta ya last season, ubaguzi.