Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Too much back passes huwa inasababisha mchezaji kukosea , kosa ni game plan Kwa manager , ukweli ni kuwa kocha anatakiwa afukuzwe kazi , timu inabaki Sana nyuma , hii inafanya wapinzani wabane space zote , adar guler ana uwezo wa dribbling lakini kocha still anacomand back passes , Kati Kati hamna creativity, issue ya mbappe ni kutokana na vipengele vya mkataba ndo mana anacheza Hadi mwisho ila mwamba ni mzigo
Ancelloti huwa ana shida kwenye kuamini,yaani akiweka imani kwa mchezaji fulani hata kama akizingua uwanjani huwezi kumshauri kitu akakuelewa, last anafukuzwa alikuwa na shida hiyo hiyo., Valverde kwasasa kiwango chake kimeshuka sana, Ceballos alikuwa na mchezo mzuri, akamtoa.,
Anachofanya kwa Mbappé sio kumuongezea Confidence bali kumpa presha, kama inawezekana apewe muda wa kuadapt, kucheza dakika kadhaa sio lazima kucheza zote 90 hata kama hana impact yoyote uwanjani.,
Acha tuone itakuwaje huko mbeleni
 
1733599564421.png
 
Huyu Mbappe anashida mahali, sio kawaida kiukweli.

Game yake itabadilika tu, nakumbuka kuna watu walikuwa wanadai auzwe Benzema abaki Higuain. Kilichosaidia ni kwamba Perez ni mvumilivu sana, mpaka leo hii Benzema ni legend.
Au unakumbuka jinsi tulivyomvumilia Vinicius Jr mpaka akaipata game yake? Vini aliku anakera
 
Vinicius ilikuwa ni kituko, aafanya kazi nzuri, halafu anatoa boko pasi ya mwisho, kuna wakati mpka Benzema akamuona kama mpinzani.,
Acha huyu Mbappe na yeye tumpe nafasi.
 
Back
Top Bottom