Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Sijaelewa kwanini tunacheza mipira mirefu wakati tuna midfilders na washambuliaji wazuri wa kumiliki mpira.
Game dhidi ya Barcelona huwa zinamchanganya sana Ancelloti, huwezi kuelewa malengo yake ni yapi kutokana na aina mpira vijana wanaoucheza
 
Tayar.

Msimu huu Madrid ni kama vile ameshindwa kabisa mbinu ya kumfunga Barca
Tuna wachezaji wa kufanya hilo jambo, shida ya Ancelloti amekuwa muoga sana akiwa anacheza dhidi ya Barcelona, sasa vijana wanadhurura tu uwanjani, hawashambulii wala hawakabi wala hawamiliki mpira, so unaweza kuona jinsi tulivyovurugwa.
 
Back
Top Bottom