Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

munayachukulia kiwepesi sana, kama wachezaji wa academy wanaweza solve kiwepesi, kwanini Pep amespend 200million January? si angetumia vijana wa Academy tu, kumlaumu carlo kwa matatizo ya uongozi wa timuni jambo la ovyo sana.
 
Ceballos alitoa man of the match performance,
Tchou & Acensio walikuwa outstanding
Rodrygonae aliupiga mwingi
Vasques ni mzigo nyuma ila ana mchango mzuri mbele
Vini na Jude should have performed more
timu bado inashindwa kumtumia vilivyo Mbappe
 
Kwahiyo Kila mchezaji akizomewa na mashabiki Kocha unamuweka bench? Hiyo timu itakuwa inanolewa na mashabiki au Kocha?.
 
Ceballos alitoa man of the match performance,
Tchou & Acensio walikuwa outstanding
Rodrygonae aliupiga mwingi
Vasques ni mzigo nyuma ila ana mchango mzuri mbele
Vini na Jude should have performed more
timu bado inashindwa kumtumia vilivyo Mbappe
Mwanzo wa msimu timu ilikosa balance kwa sababu Rodrigyo, mbappe na vin walikua wanakimbilia upende mmoja wa kushoto.

Rodrigyo kamuua kakomalia upende wa kulia na bado performance yake ipo juu, na hata mara moja moja akicheza kushoto pia anawasha moto.

Kiukweli nimetokea kumulewa sana huyu dogo.
 
hizi story za academy ni takataka, timu ndogo ndio zinazoishsi kwa kutegemea academy na sio timu kubwa.

Mkuu unatumia nguvu nyingi sana kuongea upuuzi, timu gani ndogo unayoijua ina best Academy kuishinda Real Madrid? Unajua watu kama Carvajal wametokea wapi? Angalia wakatalani walivyo na timu nzuri unafikiri ile ni timu ndogo?
 
Lucas vasquez kuwakosa Manchester City... majeraha ya misuli.

Beki ya kulia anaweza kucheza vervede tena.

Sema hakuna beki wa kati mwingine wa kumtoa Yule asencio akaenda kucheza beki ya kulia.
 
Lucas vasquez kuwakosa Manchester City... majeraha ya misuli.

Beki ya kulia anaweza kucheza vervede tena.

Sema hakuna beki wa kati mwingine wa kumtoa Yule asencio akaenda kucheza beki ya kulia.
Hapo Valverde atahusika, na ni vile Camavinga amerudi so anaweza akacheza nafasi ya Valverde ama Modric, ila msimu huu sio mchezo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…