Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
- Thread starter
-
- #5,561
Atleast tuna-enjoy disco
Balaa, huyu dogo ipo siku atakula makofi kwa kuabisha watu wazima.Umeona ile amazing footwork in tight area? ‪#‎MagicFeets‬
jameeeesssssssssss
Hatuna control kabisa ya hii game. Toni yeye magoli yake Madrid naona kaamua kupasia tu kwenye wavu
Goli la kwanza kichefu chefu, Nolito yuko na ngoma eneo la hatari, Ramos ndio kwanza anajishungulisha na kiatu chake. Hawa jamaa wana-pay attention wakijua ni Champs league tu, mbavu zao kweli.Eti kaamua kupasia tu kwenye wavu, haha. Kitendo cha kuwaachia wacheze mpira matokeo yake ndio hivi. Sijaliona goli lao la kwanza, lakini la pili mpira umetoka pale midfield.
Goli la kwanza kichefu chefu, Nolito yuko na ngoma eneo la hatari, Ramos ndio kwanza anajishungulisha na kiatu chake. Hawa jamaa wana-pay attention wakijua ni Champs league tu, mbavu zao kweli.
Hao waliumia game ya kwanza dhidi ya hivi vitoto, waache waongee tuLabda itakuwa kama game ya Rayo, second half watatulia, lakini jamaa hawa wa Celta hawana masihara, wakatalani walitoa ulimi nje uwanja huu huu, wakapata goli la bahati dakika za mwisho, wakawa hawataki kucheza mpira tena. Nashangaa hawa mashabiki maandazi wanatubeza sisi.
inabidi amuingize silva ili control ya game irudi
inabidi amuingize silva ili control ya game irudi
Hapo atatolewa Isco aingie Arbeloa, Carlo si mzima