Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
- Thread starter
- #5,581
Hahaha watoto wanagongeana kwenye box yetu, Ancelotti anaminya cojones tu. Sawa
Nusu uwanja man.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha watoto wanagongeana kwenye box yetu, Ancelotti anaminya cojones tu. Sawa
Hebu mtu atume fax Manchester haraka, hawakawii kuongeza bei
Wanataka milioni 25
18 tops. Wamchukue na Arbeloa
Hahaha acha ajiweke fiti bana, Lena bonge ya manzi na compe ni kubwa.E bana umeona? Borrat leo kaweka picha Insta eti anapiga chuma, nimecheka nilivyokumbuka hilo jina. Wamemuacha Madrid.
naona msela wenu arbeloa kaingia. Hahahahahaaa
To be honnest, Madrid ya sasa isipokuwa na James na Ramos nakuwa sina uhakika wa ushindi na ofcourse ipo hivyo.
Mi ni Toni Kroos, bila mshkaji tunazikwa.