Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
- Thread starter
-
- #5,641
Axel Witsel ama Luiz Gustavo kama tukiikosa Verratti wangekuwa bonge ya options, ila too bad hawatakaa kucheza Madrid.
Sikuwa najua kama Gustavo alikuwa fullback, nilianza kumcheki kwenye Bayern ya Jupp Heynckes, anaweza ku-hold mpira na kutoa pasi vizuri sana pia.Gustavo zamani alikuwa fullback, kwahiyo mid yake anacheza sana kama defensive kwahiyo kutakuwa mbinde kwasababu tuna Carvajal na Danilo anakuja. Axel mi nimemuona kwenye game za WC tu, aliwasaidia sana wabelgiji kwenye mashambulizi, lakini ndo hivyo uwezi jua Bernabéu, muulize Kaka.
Gustavo zamani alikuwa fullback, kwahiyo mid yake anacheza sana kama defensive kwahiyo kutakuwa mbinde kwasababu tuna Carvajal na Danilo anakuja. Axel mi nimemuona kwenye game za WC tu, aliwasaidia sana wabelgiji kwenye mashambulizi, lakini ndo hivyo uwezi jua Bernabéu, muulize Kaka.
Hahaha i hate Mourinho, ila kwa issue ya Kaka hapana. Majeruhi ndio yalimzika.Yaani katika wachezaji wanaoniuma kwa madrid ni ricardo Kaka' he deserved more than that. Mourinho aliruin career yake.