Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
- Thread starter
- #5,641
Axel Witsel ama Luiz Gustavo kama tukiikosa Verratti wangekuwa bonge ya options, ila too bad hawatakaa kucheza Madrid.
Gustavo zamani alikuwa fullback, kwahiyo mid yake anacheza sana kama defensive kwahiyo kutakuwa mbinde kwasababu tuna Carvajal na Danilo anakuja. Axel mi nimemuona kwenye game za WC tu, aliwasaidia sana wabelgiji kwenye mashambulizi, lakini ndo hivyo uwezi jua Bernabéu, muulize Kaka.