Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Carlolina bana ni vigumu kumvumila, yaani Almeria wanatupa tabu nyumbani?
 
Madrid mimi huwa nawaogopa Modric, James, Ramos na Marcelo. Ila hawa akina Ronaldo, sijui Benzema sijui naniiiii, naona ni wehu tuu. Kitu Modric na James, hatari sana hawa watu.
 
Hili goli jamaa wamejifunga,naona kila mtu akajua ni ronaldo,yy akanyoosha kidole kusema siyo yeye
 

Bizarre moment as Coentrao and James of Real Madrid take TWO THROW-INS AT ONCE

CDyAkL8WEAEQy7X.jpg
 
Huyu Toni apige mtu buti ale str8 red, only way atapumzika. Jamaa akiumia tunazikwa rasmi.
 
Katika watu ambao hawataingia mbingun isco ni mmoja wao,muongo muongo sana...hahahahaha
 
Mechi kama hizi ndio zinafanya baadhi ya watu watukosee adabu kwa kuipa Juve nafasi ya kutufunga, kiwango ovyo. Carlo ni pimbi sana.
 
Hahahaha Carlolina Ancelotti kiboko, kawachomesha madogo mahindi bila sababu ya msingi. What a douche!?
 
Back
Top Bottom