Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
- Thread starter
-
- #5,801
Jese anacheza utadhani yupo mazoezini
Hii reaction ya ronaldo baada ya goal najiuliza hajafurah au?
Hahahaha Carlolina Ancelotti kiboko, kawachomesha madogo mahindi bila sababu ya msingi. What a douche!?
Hahahaha Carlolina Ancelotti kiboko, kawachomesha madogo mahindi bila sababu ya msingi. What a douche!?
C ndo hapo,yule jesse alikuwa anafanya nn c bora angetoka aingie huyo martin
Hahaha Ancelotti nishamtukana sana kimoyo moyo matusi ambayo hata mwenyewe siyajui, akiendelea kufundisha huyu jamaa msimu ujao nachukua break from futbol. Ntakuwa nacheki tu results.Bora hata asingewapa jezi tu wale watoto, sijui alitegemea nini. Nashangaa hivi Carlo hajui kama anamuumiza Kroos? We anachezesha Arbeloa na Coentrao, halafu kuna Illara na Jese, yule **** mbuzi hatumtaki kabisa, kwanini anapenda kubahatisha bahatisha.
Frustrated with himself zaidi.
Jameeees, huyu dogo ananikosha sana. Kuna mahali nilienda nikakuta watu wanawalinganisha james na Neymar.! Niliwaangaliaaaaa, nikaishia kuwatukana kimoyomoyo.
Huyu dogo namtabiria kuja kuchukua bollon d or in next years.