Complex
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 4,119
- 4,779
Ushabiki mwingine hausaidii sasa wewe hata ungekuwa kocha umeambiwa umsajili mmoja hv kweli ungemuacha Neymar au ni mpaka awe Madrid ndio awe mzur zaid ya James. ACHA HZO JITAHD KUWA MPENZI WA MPIRA USIWE UNASIFIA CHAKO TU
Kuwa madrid hakunifanyi niwachukie wachezaji wa timu nyingine, even barca kuna ninaoona yes hawa wangetufaa sisi. Nao ni mascherano, messi, suarez, iniesta (wa miaka ya nyuma sio sasa). Bila kumsahau Dinho kwa enzi zile.
Kama kuna chansi moja ya kusajili kati ya neymar na janes ningemsajili James. Nina sababu zangu za kimpira za kumpenda huyu dogo.
1. Ana uwezo wa kucheza role nyingi sana uwanjani. Hili amelidhihirisha uwanjani na pote alimopita. So far toka aje madrid amepewa role nyingi, ameshacheza kama winger, ameshacheza kama midfield, ameshacheza kama namba 10 na amezikamilisha bila wasi.
2. Ana uwezo wa kucover distance kubwa uwanjani.
3. Ni visionary. Ana uwezo mkubwa sana wa kupiga volleys (mipira ya kunyanyua na ikafika)
4. Matured, anajua afanye nini kwa wakati gani na kitu gani no sahihi.
5. Anafunga na kuassist inapobidi.
6. Ana uwezo wa kurecover lost balls.
Kiufupi neymar ni overated player tofauti na jina alilonalo. Amekuwa akiwakosesha ushindi in some matches (kama ni mtazamaji wa mechi zenu unalielewa hili), ana mpira wa kucheza na majukwaa sana, hajui majukumu yake awapo uwanjani. Pamoja na kutoka taifa kubwa na kucheza klabu kubwa, i see no way anaweza kuwa ballon d or winner in his career kwa mpira anaoucheza. Labda abadilike
Haya wewe niambie ukionacho kwa neymar ambacho anamzidi james, au james hana.