Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
- Thread starter
-
- #5,961
Carlolina sijui anakasirika kitu.gani sasa
Tunacheza tu kama team inayofundishwa na Ancelotti inavyotakiwa kucheza, KWA KUKARIRI. Tutashinda eventually, ila ndio hivyo stress kibao.
Hahaha hiyo iko wazi, lazima bataloa aingie, na lazima Isco na Chicharito watoke, ni script ameshaandika Carlolina kitambo.Mi sitaki kufikiria kabisa wachezaji waliokuwa bench . Usishangae akatolewa mtu aingie Arbeloa.
Timu imekufa kwenye kiungo, Carlolina anaingiza mwanariadha aliyetoka kwenye majeruhi. Smh
Hatrick puto
Lucas hayuko bench. Kuna Illarra tuKwenye bench kiungo wa kumwamini labda ni Lucas, lakini hii game inatakiwa speed.