Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Trust me bro, Allegri ni taahira wa coaches, chochote atakachofanya kesho ama 2nd leg ni upuuzi tu. Alipofika hapo ni msingi wa Conte, Juve hata bila coach wange-manage mpaka hapo.

Lakini wamepoteza mechi 1 tu katika last 17 European home games at Juventus Stadium (W10 D6 L1).
 
Haijalishi, we are Real Madrid. Kwani Sevilla ilikuwaje na home record yao?

Nilikuwa nafikiria the same, Sevilla walikuwa na rekodi ya 34 games. Kitu cha muhimu kwenye hii game Real Madrid ni ku score more than 1 goals, then fainali hii hapa.
 
Nilikuwa nafikiria the same, Sevilla walikuwa na rekodi ya 34 games. Kitu cha muhimu kwenye hii game Real Madrid ni ku score more than 1 goals, then fainali hii hapa.
Mbele ya Juve tunapita, jamaa hawanitishi kabisa. Tena tukiwa makini tunamaliza mchezo kesho, Bernabeu watakuja kutimiza ratiba tu.
 

Bayern set to offer €135M for Bale [Marca]
 
Mbona me sion wakutuzuia kuchukua ndoo hii kama pale mbele wakicheza kwa kuelewana,especial' bale maana ana kauchoyo kalikojificha wakat goil halioni vzr sana kama ronaldo..
 
Kuna dada kalia sana kwa furaha baada yakupata sign na hug kutoka kwa ronaldo..wakat mwingine ndoto zinakuwa kwel unashindwa kujizuia
 

Kroos: "Juventus know how to defend well but are also capable of making quick transitions. We'll adapt to that and I hope that with the strengths we have we'll be able to get through".


"Ancelotti knows Juventus well and we'll be making use of our strengths"


" We have progressed well up until this point and are now through to the semi-finals, among the four best teams in Europe, which is a great achievement."


"Our Goal is to win back to back UCL titles".

 

Reporter:What does wearing the Real Madrid jersey mean for you?


Chicharito :It really represents motivation, excitement and determination. Playing for the best club in the world is a dream come true. I try to make the most of the chances I'm given and also enjoy them. That is the thought always going through my mind.


It's an incredible club. They make everything available for you to ensure you're comfortable, to allow you to train more, recover... Everything is of the highest quality here. It a fantastic institution and club. It's amazing to be here, to represent the club and defend the crest.
 

Pirlo: "Carlo Ancelotti is like a father. We spent a lot of years together. He got me playing my best football in a different position, further back. He changed my role on the pitch. I lived indescribable times with him".

 

Del Bosque: "I want an all Spanish Champions League final"
 

Real Madrid's training session has started...

 

BREAKING NEWS: Cristiano Ronaldo had some discomfort at the start of training. Hope everything is fine ��


 
Real Madrid akifungwa game yoyote kati ya hizi 2 na Juventus na-log out mpaka mashindano yajayo ya Champions League hatua ya nusu fainali.

My word is good as my cojones, i will always keep it. Au nipigwe ban ya mwaka mzima kabisa. Vamonos blancos!!
 
At the start of the training session Cristiano suffered some discomfort in his back and was attended by Real Madrid's medical staff. He seems to be fine now. Nothing to worry about.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…