Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
- Thread starter
- #6,081
Real Madrid akifungwa game yoyote kati ya hizi 2 na Juventus na-log out mpaka mashindano yajayo ya Champions League hatua ya nusu fainali.
My word is good as my cojones, i will always keep it. Au nipigwe ban ya mwaka mzima kabisa. Vamonos blancos!!
Ha ha, kuna picha nimeona wakatalani wamepamba uwanja wao kwa ndani miaka waliochukua ubingwa, eti 1992-2006-2009-2011-we're ready for 2015. Nimecheka peke yangu, Real Madrid wakiamua waandike ndani ya Santiago Bernabeu sijui kama utatosha.