Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Marcelo, James Rodriguez & Cristiano Ronaldo in La Liga XI for the month of November

 
Mechi ya Copa del Rey-1/16 second leg inachezwa Santiago Bernabeu kuanzia saa 2 usiku(yaani saa 4 usiku kwa saa za Afrika mashariki).
Kwa wale ambao hawawezi kuona moja kwa moja kupitia TV zao wanaweza kupata free-to-air transmission kupitia Realmadrid APP! http://bit.ly/1HV6dTV

Au unaweza ku-download kwenye smartphone yako!
IOS: http://bit.ly/1B9tnE9
Android: http://bit.ly/1zLWeu7

Au unaweza kuangalia mechi kwenye PC kupitia link: http://w-sp.tv/es/?id=e3
 
Mpira unaanza.
Real Madrid starting eleven: Pacheco, Arbeloa, Varane, Nacho, Coentrão, Illarra, Khedira, Medran, Isco, Chicharito & James.
Captain Alberoa.
Bench: Keylor Navas, Dani Carvajal, Jese Rodriguez, Diego Llorente, & Javi Munoz.
 
Dakika ya 14 Cornellà wanakosa penalty.
 
Dakika 16 James Rodriguez anaweka bao.
 
Isco anafunga goli la pili katika dakika ya 34.
 
James again dakika 36 anaweka bao la 3.
 
Mpira ni Half Time Real Madrid 3 E.U.Cornellà 0.Some fans are not watching because of the absence of star players but the team is playing beautiful football. The goal by James was beautiful one.Another nice chip goal by Isco, assisted by stunning pass from James.And 3rd goal by Jamems again was curling shot after unbelievable backheel by Chicharito.
SIMPLY MINDBLOWING STUFF !
2 goals in 1 minute.

 
Kipindi cha pili kinaanza, Varane Bench anaingia Llorente.
 
It seems like Khedira can't continue after the collision from Cornella's player.
 
GOAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAL!! 4-0
Own goal by Cornella's defender after Chicharito's first time attemp.
#HalaMadrid
 
Javier Muñoz is on for James Rodriguez who scored twice and assisted once.
 
Dakika ya 78, Jesè anaweka bao la 5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…