Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
- Thread starter
-
- #6,501
Sergio Ramos: Di Stéfano said, 'No player is as good as all players together'. You are player no. 12. #JuntosAPorLaUndécima
I see real madrid in the final with the host, i see it
sio hvo joh! mbona mashabiki wa ukweli wa barca kama alen na everlenk sio wasumbufu kiasi hicho, lini uliona sisi tunahangaika kwenye thread yenu kule?? kama kuna statistic ni nzuri unataka member wazijue weka kwenye thread yenu kila mtu akipita huko anaziona, hapa wanakutana madridista na sio kop, bluez, red devils, gooner, catalunya au wengineo maana nao wana uzi wao.
#just_be_kind joh.
Kwa mtazamo wangu,cassilas kuwepo bench ni majanga maana anapenda ufalme,kwa hiyo hatakubali kirahisi kumuachia kipa mpya atayekuja achukue namba yake as long carlo ataendelea kuwepo pale,kwa hiyo ile hali ya umakundi itarudi tena...carlo hana ubavu wa wakuongoza mastaa
Iker mwehu tuu, yule ni wakupigwa bench ili akili imkae sawa. Kwani nani alimtoa Diego Lopez Madrid na kwanini aliondoka?
Jamaa alikuwa kwenye form sana kipindi kile na kama angeendelea angekuwa ni moto zaidi, sehemu anayocheza haijarishi sana umri wake. Diego Lopez kwangu alikuwa ni bora sana kuliko Iker.