Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,012
- 23,633
And we need you Reyes to stop giving out fouls man.
ENTREVISTA BD | FELIPE REYES: " We need the fans to be our sixth person"
Ilifika mahali Cholo akasema Messi ni bora kuliko BBC, watu wakadhani he was being his usual dick-self. Kumbe alikuwa anatuambia wale jamaa mechi ambazo watu hawaachi nafasi ya riadha hawana kitu, Carlo kichwa ngumu hakuelewa, matokeo yake ndio yale games 7 ovyo.Simeone anatuyeyusha, sijui kama atakuja kupata ushindi tena dhidi ya Real kama alivyopata nyuma ya Ancelotti. Nikikumbuka zile game zote, naona Carlo bora aende tu.
And we need you Reyes to stop giving out fouls man.
Ilifika mahali Cholo akasema Messi ni bora kuliko BBC, watu wakadhani he was being his usual dick-self. Kumbe alikuwa anatuambia wale jamaa mechi ambazo watu hawaachi nafasi ya riadha hawana kitu, Carlo kichwa ngumu hakuelewa, matokeo yake ndio yale games 7 ovyo.
Nakumbuka hata Klopp aliwahi kusema kipindi cha Mourinho kwamba, ukitaka kuifunga Madrid tembea na Xabi, halafu muache Pepe huru kuomba mipira kutoka kwa kipa, coz atabutua mbele tu na inakuwa 50/50. Mourinho nalo lilivyo chizi, likaenda hivyo hivyo, BVB wakatufanya kitu mbaya.
Pale ubaya tuna wapenzi wa Madrid, ila sio watu wa m'pira. Perez akili zake anazijua mwenyewe, majina tu, haijalishi kama anahitajika ama la. Jamaa ile Zizou y Pavon era aliwahi kusema Zizou is so talented he can play anywhere even in defence, hapo ni baada ya kuulizwa kwanini club inasajili offensive players tu.BBC bado tunayo next season, inasemekana Chicha apewi fumo na Reus ni bado 50/50 sasa sijui ndio inakuwaje hapa. Mi nafikiri ile timu lazima kuwe na striker anayeweza kukaa na mpira mguuni kama Benzi lakini awe ananyanyua macho kuangalia goli.
Hiyo tall Mehican ese on the right ilikamua sana semis, Gustavo Ayon. Hopefully na leo atakuwa kwenye spirit ile ile.
‪#‎BigMatch‬ Euro League FINAL REAL MADRID VS OLYMPIACOS‪#‎HALAMADRID‬ ‪#‎APORLANOVENA‬
Time: 2:00 PM CET
Hahaha i heard them, inaonekana watu wako sure tayari, coz already wanajadili options.Even commentators are discussing that De Gea is off to Real Madrid during Manchester United vs Arsenal.
Hahaha i heard them, inaonekana watu wako sure tayari, coz already wanajadili options.
Watu wengine washaanza kuona kasoro zake, wengine wanamwita mshamba.
Tunahitaji mtu kama Luiz Gustavo pale, ila sioni ikitokea. Kroos anakaba vizuri kwa m'pira wa leo, ile game vs Juve 2nd leg hakuwa fit after that injury scare last sunday.Unajua kuna makosa ambayo bado tunaendelea kuyafanya na yatatucost kwa muda mrefu kama alivyoondoka makelele na kabla ya ujio wa alonso....sisi hatuna holdermidfilder hawa tulio nao ni waongo waongo..hatuna mtu wa kazi pale kabisa...kroos ni mzuri akiwa na mpira asipokuwa nao ni aibu anakaba na macho,naona uongozi unajadili kusajili viungo washambuliaji wakat tumepwaya kabisaa kwenye ukabaji.....tusipoangalia eneo hili mambo yatarudi pale pale and as long hawa kina illara hawajaaminiwa bado tutatepeta....tatizo lingine ni nikubaliane na makocha na wajumbe waliotangulia hapo juu...ni kwel,huwa tukicheza na timu ambayo haikupi sehemu yakukimbia hizi foward line zetu huwa zinakuwa katika wakat mgumu sana na haswa ukiangalia hawana uwezo mkubwa kivile wakupenya kwa maana yakulazimisha nafasi pale katikat,kwa hiyo kinachotokea tunategemea sana kwenye counter attack na cross...sasa tukikutana na ukuta mgumu mrefu,tunapoteana kabisaa had tunatia huruma...chakufanya nikurekebisha eneo la kati kwa maana ya kiungo mkabaji wa asili nakupata foward mwenye nguvu na control kubwa....hawa BBC ni swala la saikolojia tu,mbona msimu jana walicheza vzr...ubinafsi waache,bale asilazimishe ufamle kuwa lazima afunge ilihali goli halioni vzr,anaweza kuwa kama di maria au ozil na akawa star mkubwa tu...awapikie wenzie kuliko kushindana na ronaldo ambaye ashajiwekea mizizi pale....
Naona dagaa kaumia mshipa wa tako nafikiri...muhimu aje madrid akiwa mzima