Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

ENTREVISTA BD | FELIPE REYES: " We need the fans to be our sixth person"

CFMqLn8WYAEjc6n.jpg
And we need you Reyes to stop giving out fouls man.
 
Simeone anatuyeyusha, sijui kama atakuja kupata ushindi tena dhidi ya Real kama alivyopata nyuma ya Ancelotti. Nikikumbuka zile game zote, naona Carlo bora aende tu.
Ilifika mahali Cholo akasema Messi ni bora kuliko BBC, watu wakadhani he was being his usual dick-self. Kumbe alikuwa anatuambia wale jamaa mechi ambazo watu hawaachi nafasi ya riadha hawana kitu, Carlo kichwa ngumu hakuelewa, matokeo yake ndio yale games 7 ovyo.

Nakumbuka hata Klopp aliwahi kusema kipindi cha Mourinho kwamba, ukitaka kuifunga Madrid tembea na Xabi, halafu muache Pepe huru kuomba mipira kutoka kwa kipa, coz atabutua mbele tu na inakuwa 50/50. Mourinho nalo lilivyo chizi, likaenda hivyo hivyo, BVB wakatufanya kitu mbaya.
 
BBC bado tunayo next season, inasemekana Chicha apewi fumo na Reus ni bado 50/50 sasa sijui ndio inakuwaje hapa. Mi nafikiri ile timu lazima kuwe na striker anayeweza kukaa na mpira mguuni kama Benzi lakini awe ananyanyua macho kuangalia goli.
 
Pale ubaya tuna wapenzi wa Madrid, ila sio watu wa m'pira. Perez akili zake anazijua mwenyewe, majina tu, haijalishi kama anahitajika ama la. Jamaa ile Zizou y Pavon era aliwahi kusema Zizou is so talented he can play anywhere even in defence, hapo ni baada ya kuulizwa kwanini club inasajili offensive players tu.

Tusubiri tuone watafanyaje, lately pia amekuwa mtu wa surprises sana. Hukawii kuskia Ramos/Bale wanauzwa kupisha wengine.
 
Even commentators are discussing that De Gea is off to Real Madrid during Manchester United vs Arsenal.
 
OFFICIAL REAL MADRID XI:Navas; Carvajal, Varane, Pepe, Marcelo; Kroos, James, Isco; Cristiano, Benzema, Bale
 
MARCA | Ancelotti has let Iker decide which of the last 2 games he'd want to play. The game which would likely be his last game for Madrid.

- If this is true.. Then Iker wants to play at the Bernabeu & rightfully so.
 
Unajua kuna makosa ambayo bado tunaendelea kuyafanya na yatatucost kwa muda mrefu kama alivyoondoka makelele na kabla ya ujio wa alonso....sisi hatuna holdermidfilder hawa tulio nao ni waongo waongo..hatuna mtu wa kazi pale kabisa...kroos ni mzuri akiwa na mpira asipokuwa nao ni aibu anakaba na macho,naona uongozi unajadili kusajili viungo washambuliaji wakat tumepwaya kabisaa kwenye ukabaji.....tusipoangalia eneo hili mambo yatarudi pale pale and as long hawa kina illara hawajaaminiwa bado tutatepeta....tatizo lingine ni nikubaliane na makocha na wajumbe waliotangulia hapo juu...ni kwel,huwa tukicheza na timu ambayo haikupi sehemu yakukimbia hizi foward line zetu huwa zinakuwa katika wakat mgumu sana na haswa ukiangalia hawana uwezo mkubwa kivile wakupenya kwa maana yakulazimisha nafasi pale katikat,kwa hiyo kinachotokea tunategemea sana kwenye counter attack na cross...sasa tukikutana na ukuta mgumu mrefu,tunapoteana kabisaa had tunatia huruma...chakufanya nikurekebisha eneo la kati kwa maana ya kiungo mkabaji wa asili nakupata foward mwenye nguvu na control kubwa....hawa BBC ni swala la saikolojia tu,mbona msimu jana walicheza vzr...ubinafsi waache,bale asilazimishe ufamle kuwa lazima afunge ilihali goli halioni vzr,anaweza kuwa kama di maria au ozil na akawa star mkubwa tu...awapikie wenzie kuliko kushindana na ronaldo ambaye ashajiwekea mizizi pale....
 
Watu wengine washaanza kuona kasoro zake, wengine wanamwita mshamba.

Watu utawaweza, nadhani ndio namna ya kuonyesha maumivu yao. Kina Peter Drury wanajadili replacement kama ni Cech ama Lloris, wao wataendelea kumtusi.
 
Naona dagaa kaumia mshipa wa tako nafikiri...muhimu aje madrid akiwa mzima
 
Unajua kuna makosa ambayo bado tunaendelea kuyafanya na yatatucost kwa muda mrefu kama alivyoondoka makelele na kabla ya ujio wa alonso....sisi hatuna holdermidfilder hawa tulio nao ni waongo waongo..hatuna mtu wa kazi pale kabisa...kroos ni mzuri akiwa na mpira asipokuwa nao ni aibu anakaba na macho,naona uongozi unajadili kusajili viungo washambuliaji wakat tumepwaya kabisaa kwenye ukabaji.....tusipoangalia eneo hili mambo yatarudi pale pale and as long hawa kina illara hawajaaminiwa bado tutatepeta....tatizo lingine ni nikubaliane na makocha na wajumbe waliotangulia hapo juu...ni kwel,huwa tukicheza na timu ambayo haikupi sehemu yakukimbia hizi foward line zetu huwa zinakuwa katika wakat mgumu sana na haswa ukiangalia hawana uwezo mkubwa kivile wakupenya kwa maana yakulazimisha nafasi pale katikat,kwa hiyo kinachotokea tunategemea sana kwenye counter attack na cross...sasa tukikutana na ukuta mgumu mrefu,tunapoteana kabisaa had tunatia huruma...chakufanya nikurekebisha eneo la kati kwa maana ya kiungo mkabaji wa asili nakupata foward mwenye nguvu na control kubwa....hawa BBC ni swala la saikolojia tu,mbona msimu jana walicheza vzr...ubinafsi waache,bale asilazimishe ufamle kuwa lazima afunge ilihali goli halioni vzr,anaweza kuwa kama di maria au ozil na akawa star mkubwa tu...awapikie wenzie kuliko kushindana na ronaldo ambaye ashajiwekea mizizi pale....
Tunahitaji mtu kama Luiz Gustavo pale, ila sioni ikitokea. Kroos anakaba vizuri kwa m'pira wa leo, ile game vs Juve 2nd leg hakuwa fit after that injury scare last sunday.

As for BBC kung'ara msimu ulioisha, tulikuwa kings of Counter attacks. We used to sit back na kuacha waje, tukipata tunawatupia tu wanariadha wetu wale wawili. Sasa Carlo kaua hizo Counter. Hiyo ni moja ya sababu.
 
Back
Top Bottom