Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
- Thread starter
-
- #7,701
sikuona mapungufu ya kutisha ya Ancelotti kiasi cha kumtimua
Itakuwa ni ngumu kupindua ufalme wa ronaldo pale ni hadi atapoondoka..
Rumors are going around that Gareth Bale will be Benitez main man the coming season, and not Cristiano Ronaldo.
huyu dogo hana kiwango chakucheza madrid...Hahaha Di Marzio should change his name to Di CRAPio already.
Yule hata Santander hawafai, abaki huko huko alipo.huyu dogo hana kiwango chakucheza madrid...
Yule hata Santander hawafai, abaki huko huko alipo.
Itakuwa ni ngumu kupindua ufalme wa ronaldo pale ni hadi atapoondoka..
Illarra is good, Carlo tu ndio alishindwa kumtumia vizuri kwa kumchezesha outta position, jamaa akashindwa kwenda sawa. Huyo Jamaa enzi yake La Real na U-21 ya Lopetegui waliobeba Euro '13 alikuwa noma sana.Halafu nimesikia Illara anabaki. Sasa we imagine tuwajaze wa aina hiyo kweli si kichekesho hiki, benchi bovu lilichangia matokeo mabaya ya kwenye hii season pia.
Halafu nimesikia Illara anabaki. Sasa we imagine tuwajaze wa aina hiyo kweli si kichekesho hiki, benchi bovu lilichangia matokeo mabaya ya kwenye hii season pia.