Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
- Thread starter
- #7,701
sikuona mapungufu ya kutisha ya Ancelotti kiasi cha kumtimua
Labda ulikuwa unaangalia picha tu ya Ancelotti lakini sio situation na kuvurunda kwa squad nzima kwenye msimu huu ulioisha.