Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

England hamna kitu, strikers wao Wayne Rooney na Raheem Sterling, we subiri Euro 2016 ucheke hapa.

Haha Jamaa siwakubali na kila kitu chao, hata nchi yao sioni nikienda hata kwa siku 1 tu, kamwe. Hata kipindi tunawafukuzia kina Becks, Owen, Woodgate nilikuwa naombea sana wasije.
 
Haha Jamaa siwakubali na kila kitu chao, hata nchi yao sioni nikienda hata kwa siku 1 tu, kamwe. Hata kipindi tunawafukuzia kina Becks, Owen, Woodgate nilikuwa naombea sana wasije.

Hahaha, jamaa wamekosaga hata mademu wakali, uwaambie kusifia kila kitu chao, lakini kwa kawaida watu huwa hawawachukulii waingereza serious.
 
Hahaha, jamaa wamekosaga hata mademu wakali, uwaambie kusifia kila kitu chao, lakini kwa kawaida watu huwa hawawachukulii waingereza serious.

Btw, niliona Marca kwamba Rafa anataka Keylor abaki, means kama De Gea anakuja Iker inabidi aondoke. Niliskia pia Liverpool wako tayari kutoa about 15m kwa Keylor, nadhani tungechukua hii option since we can't sell Iker for that amount + he's still the most valuable to us even as a bench-warmer. Keylor just isn't Real Madrid's material.
 

I still don't know what's going on in the head of Perez right now. They turn down the Keylo's offer, Iker is still there. Vile vile kuna watu kama Illara, Nacho na Arbeloa nilifikiri ndio wamemaliza msimu wanaondoka. Kila siku wamekaa kukanusha tu, ooh this is not true, oo mara this one is not for sale. Last season ilikuwa hivi hivi.
 

Arbeloa has got to go, i'll march to Madrid just to kick el hijo del gun out man. Nacho is the best 3rd choice defender any top team can have, unless we release him and promote Derick or Diego Llorente(I like this kid). Illarra can still improve, i still feel Carlo failed to use him + dude got a badass name 'Iyaramendi!'.
 
hv ni nan anayemuhoji perez maana amekuwa dictator kila kila yeye ndo mwenye nguvu ndo maana maamuz yake mda mwingine ni mabaya anatuboa kubadilisha makocha ovyo tangu aingie madrakani na sera yake ya galaticos sasa ni kocha wa 12 anamuajir cjui lin atatulia na kocha mmoja kumbuka kilchomkumba vicente del bosque alileta ubingwa wa ulaya mara 2 bdo akaj kumfukuza na timu ikapotea kabisa
 

Luka Modric: "I played some great football, but I also had a lot of bad luck with injuries".


- "It had beenreally tough not being able to help Real Madrid in the Champions League".


-"I missed key games, but what can you do? On wards and upwards".


- "I'm better, but not fit enough to play yet. I'll be there, cheering on my national team and I think my teammates are going to get a good result".


 


Luka Modric named Croatia Player of the season, Barca's Rakitic runner up.



Votes :


1 - Modric (168 votes)

2 - Rakitic (16 votes)
 
welcome back casemiro on the squad lkn kuna competition ya namba kwa nafasi anayocheza tusubir benitez atamuweka wap,lkn dogo anajua ni kipaji kizuri
 


EcoDiario | Morata will be the third signing for Benitez this summer.


1st : Danilo

2nd : Casemiro

3rd : Morata ?
 
welcome back casemiro on the squad lkn kuna competition ya namba kwa nafasi anayocheza tusubir benitez atamuweka wap,lkn dogo anajua ni kipaji kizuri

Casemiro lazima atacheza kwasababu next season kutakuwa na rotation, sio kama Carlo wachezaji wamevunjika yeye bado anawapa mechi tu. Wachezaji hao hao hajui kutofautisha mechi ya Getafe wala Champion league.
 

Nafikiri panga litaanzia kwa Arbeloa. Na kuna tetesi naziona hapa eti Rafa anataka kumleta Morata. Mimi sijisikii raha kama kwenye squad tutakuwa na hizi Illaramendi and Morata type tu. Wanavipaji ndio, lakini si wa kuwajaza pale, tunataka mafundi wenye uwezo na akili. Na Real Madrid fans tumezoea kuona majina makubwa Bernabéu, lakini Perez anataka kutuletea utoto.
 
West Bromwich reached an agreement with
Real Madrid for the transfer of Cristian
Benavente (RM Castilla) for 5M with buy-
back option [Marca]
 
Karim Benzema’s agent holds meeting with
Manchester
Benzema’s intention is to complete his
contract with Real Madrid as long as the
club counts on him as a first team regular.
[AS]
 
[MENTION=111645]salam[/MENTION salamander mkuu nipe utabir wako
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…