Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,012
- 23,633
England hamna kitu, strikers wao Wayne Rooney na Raheem Sterling, we subiri Euro 2016 ucheke hapa.
Haha Jamaa siwakubali na kila kitu chao, hata nchi yao sioni nikienda hata kwa siku 1 tu, kamwe. Hata kipindi tunawafukuzia kina Becks, Owen, Woodgate nilikuwa naombea sana wasije.